Kahise
JF-Expert Member
- Jul 25, 2008
- 379
- 435
Mwezi uliopita nilishuhudia Mwenge unakimbizwa katika mkoa wa Kigoma. Ajabu niliyoiona ni mwenge kutembea na wasanii wa Bongo!
Zamani mwenge ulijitangaza wenyewe kwa kiwa ulionekana wenye maana kwa kile ulichokisimamia. Leo wanaokwenda kwenye mwenge ni watoto wa shule za msingi! Ili kuwe na mvuto, serikali inaendelea kuteketeza fedha kwa kusafirisha wasanii japo waweze kuzitia mbio za mwenge hamasa!
Mahali mwenge unapolala kunabadilika kuwa Sodoma na Gomora. Hivi kwa nini mwenge unaenda kufundisha uzinzi? Kondomu zinagawiwa kwa mabox, je serikali inahamashisha uzinzi?