Elections 2010 Mwenendo wa Bunge wakera wananchi

Feedback

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
7,988
4,507
SPIKA wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda, amesema ameanza kupokea ujumbe mfupi wa simu kutoka kwa wananchi wakieleza kutoridhishwa na mwenendo wa Bunge hilo. Akitoa matangazo mara baada ya kipindi cha maswali na majibu jana asubuhi, Spika Makinda, aliwataka wabunge wabadilike ili kuheshimu kanuni na taratibu za Bunge kwa lengo la kurejesha hadhi ya chombo hicho muhimu kwa mustakabali wa Taifa.

“Wananchi wananitumia meseji nyingi sana, kwamba Bunge halina heshima tena mbele ya jamii kutokana na vitendo vinavyofanywa na wabunge wawapo bungeni. Wanasema walikuwa wanapenda sana kusikiliza na kufuatilia matangazo ya vipindi vya Bunge kupitia redio na televisheni, lakini sasa hawana hamu kabisa na hawatuangalii,” alisema Spika Makinda.

Alisema vitendo vya utovu wa nidhamu kwa wabunge wengi na kutoheshimu kanuni za Bunge kwa kuomba miongozo na taratibu bila kuzingatia mpangilio mzuri, kwa kiasi kikubwa ndiko kulikowafanya wananchi kutopenda kufuatilia vikao hivyo.

“Nawaombeni wabunge wote tubadilike, ili turejeshe imani na hamu ya wananchi kutuangalia na kuona tunawawakilisha vipi ndani ya Bunge na namna Serikali inavyoeleza utekelezaji wa kero zinazowakabili wananchi,” alisema.

HabariLeo.
 
SPIKA wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda, amesema ameanza kupokea ujumbe mfupi wa simu kutoka kwa wananchi wakieleza kutoridhishwa na mwenendo wa Bunge hilo. Akitoa matangazo mara baada ya kipindi cha maswali na majibu jana asubuhi, Spika Makinda, aliwataka wabunge wabadilike ili kuheshimu kanuni na taratibu za Bunge kwa lengo la kurejesha hadhi ya chombo hicho muhimu kwa mustakabali wa Taifa.

"Wananchi wananitumia meseji nyingi sana, kwamba Bunge halina heshima tena mbele ya jamii kutokana na vitendo vinavyofanywa na wabunge wawapo bungeni. Wanasema walikuwa wanapenda sana kusikiliza na kufuatilia matangazo ya vipindi vya Bunge kupitia redio na televisheni, lakini sasa hawana hamu kabisa na hawatuangalii," alisema Spika Makinda.

Alisema vitendo vya utovu wa nidhamu kwa wabunge wengi na kutoheshimu kanuni za Bunge kwa kuomba miongozo na taratibu bila kuzingatia mpangilio mzuri, kwa kiasi kikubwa ndiko kulikowafanya wananchi kutopenda kufuatilia vikao hivyo.

"Nawaombeni wabunge wote tubadilike, ili turejeshe imani na hamu ya wananchi kutuangalia na kuona tunawawakilisha vipi ndani ya Bunge na namna Serikali inavyoeleza utekelezaji wa kero zinazowakabili wananchi," alisema.

HabariLeo.

hapo ccm imekula kwao walizani bunge ni sehemu ya kufanya ushabiki wa chama na miongozo yao hisiyo na maana
 
Angetilia mkazo wa kuanza kubadilika yeye kiongozi mbele kabla ya anaowaongoza.
 
Inawezekana ujumbe huo humwambia kuwa anaendesha bunge vibaya, lakini yeye anadhani kama alivyotangaza
 
Back
Top Bottom