hapo mziki ni mzito nahisi kama patachimbika
Huko nje ya mahakama wananchi wameanza kuimba wanataka spika kujua kinachoendelea.
niko hapa kwenye viwanja vya mahakama watu ni wengi pamoja na kwamba wengi walishaondoka...watu wanasema patachimbika..polisi ni wengi akiwemo ocd Zuberi..

hali hapo nje ikoje..watu wanadai spika bado? kwa kuwa umeongeza hapo mahakamani basi saidiana na ngurati
Wakili wa utetezi amemwomba jaji kupima uzito wa kesi na Kauli ambazo zimetolewa na viongozi wa juu wa ccm na ajiyoe kusikiliza kesi hii ili kuonfoa doubts.
On the side,
kwa kifupi jaji huyu anaitwa mujuluzi na ni mmoja wa wamiliki wa IMMA ADVOCATEs , inamilikiwa na watu hawa, IShengoma, Mujuluzi, Masha Laurence. Majina Yao ndo yanaunda imma advocates. Kumbukeni ridhiwani kikwete ni sehemu ya imma advocates, na masha ni Jada wa ccm, na walisimamia kesi ya deep green. Nawasiliaha

Ukitukanwa utalaumu.zitto hajambo?
Hizo ni dalili nzuri kama polisi wameanza kuheshimu nguvu ya umma.