Mwasisi wa unafiki na uchawa nchi hii ni mchonga meno( baba john,baba maria na baba rosemary)

Chawa wa lumumbashi

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
793
1,749
Yule jamaa mwandishi wa habari wa kwanza wa BBC swahili na hakika ndiyo alistahili kuwa rais wa nchi hii sio huyu mnaomsema ninyi kwanza mnaomsema ninyi ni mwasisi wa haya yote kwanza waTanzania kuanzia udini,uoga, unafiki na uongo uongo wa ninyi wajinga wajinga

Kitendo cha yeye kumsema Amini ni gaidi wakati ni mtu bora hapo unafiki na uongo wake ulipodhihiri,na kumsema bwana yule wa mbinga na mwandishi wa kwanza BBC.swahili.ya kwamba ameolewa na wazungu hapo ndipo alipodhihirisha uongo na uungu wake wa kibinadamu( shame?

Napatwa na hasira kumtema huyo mtu kwamba number moja nachukia na natamani kumpiga mtu , kwanza yeye ndiyo chanzo cha umasikini wa nchi hii,uchawa wa nchi hii nakiri bila yeye nchii ingekuwa masikini lakini ndiyo hivyo ujinga mtupu

Namchukia baba maria,mama john na baba rosemary
 
Wewe utakuwa mfuasi wa Mudi
 
mwasisi wa haya yote kwanza waTanzania kuanzia udini,uoga, unafiki na uongo uongo wa ninyi wajinga wajinga
Yadaiwa uoga uwongo, unafiki na ujinga vilianza wakati wa ukoloni.

Mababu zetu walibeba mwarabu mabegani toka Kigoma mpk Bagamoyo kwasabb ya uoga .

Njiani walikuwa wanachomeana kwa mawarabu kuwa wapo wanaotaka kumwangisha. Halafu mwarabu alikuwa anawaua waliochongewa kwa risasa.

Mungu atunusuru watanzania.
 
Yaani umeshashiba karanga za kuchemsha sasa unatujambia humu....yaani unamsema Mwalimu?!!!!!
 
Yule jamaa mwandishi wa habari wa kwanza wa BBC swahili na hakika ndiyo alistahili kuwa rais wa nchi hii sio huyu mnaomsema ninyi kwanza mnaomsema ninyi ni mwasisi wa haya yote kwanza waTanzania kuanzia udini,uoga, unafiki na uongo uongo wa ninyi wajinga wajinga

Kitendo cha yeye kumsema Amini ni gaidi wakati ni mtu bora hapo unafiki na uongo wake ulipodhihiri,na kumsema bwana yule wa mbinga na mwandishi wa kwanza BBC.swahili.ya kwamba ameolewa na wazungu hapo ndipo alipodhihirisha uongo na uungu wake wa kibinadamu( shame?

Napatwa na hasira kumtema huyo mtu kwamba number moja nachukia na natamani kumpiga mtu , kwanza yeye ndiyo chanzo cha umasikini wa nchi hii,uchawa wa nchi hii nakiri bila yeye nchii ingekuwa masikini lakini ndiyo hivyo ujinga mtupu

Namchukia baba maria,mama john na baba rosemary
J.K Nyerere ni ICON wa Tanzania hii, ni Kiongozi Shupavu mwenye weledi Mkubwa aliyewafundisha Waswahili siasa

Kama hakustahili kuwa Rais na Mwasisi wa Nchi basi Waswahili wangekuwa wangetoa Rais wa nchi hii

Badala yake Waswahili walikuwa kazi yao ni kucheza bao vibarazani, kuingia madrassat na kuoa wake wengi...Halafu badala yake leo wanasema wao ndio waliompokea Nyerere kutoka Butiama akiwa amevaa bukta

Kama wamempokea so what? Wakafanya nini?

UJINGA NA USWAHILI NI MZIGO

Mohamed Said FaizaFoxy leteni ngebe hapa
 
Yadaiwa uoga uwongo, unafiki na ujinga vilianza wakati wa ukoloni.

Mababu zetu walibeba mwarabu mabegani toka Kigoma mpk Bagamoyo kwasabb ya uoga .

Njiani walikuwa wanachomeana kwa mawarabu kuwa wapo wanaotaka kumwangisha. Halafu mwarabu alikuwa anawaua waliochongewa kwa risasa.

Mungu atunusuru watanzania.
 
J.K Nyerere ni ICON wa Tanzania hii, ni Kiongozi Shupavu mwenye weledi Mkubwa aliyewafundisha Waswahili siasa

Kama hakustahili kuwa Rais na Mwasisi wa Nchi basi Waswahili wangekuwa wangetoa Rais wa nchi hii

Badala yake Waswahili walikuwa kazi yao ni kucheza bao vibarazani, kuingia madrassat na kuoa wake wengi...Halafu badala yake leo wanasema wao ndio waliompokea Nyerere kutoka Butiama akiwa amevaa bukta

Kama wamempokea so what? Wakafanya nini?

UJINGA NA USWAHILI NI MZIGO

Mohamed Said FaizaFoxy leteni ngebe hapa
Pamoja na Ritz Malaria 2
 
Ndio imeshakuwa ni
Waziri mkuu wa kwanza
Rais wa Jamhuri
Muasisi wa muungano
Muasisi wa Tanu baadae ccm
Baba wa Taifa la Tanganyika na Tanzania
Julius Kambarage Nyerere
Mkatoriki msomi na kiongozi pekee kuwahi kuiongoza Tanzania kwa mda mrefu zaidi
 
Yule jamaa mwandishi wa habari wa kwanza wa BBC swahili na hakika ndiyo alistahili kuwa rais wa nchi hii sio huyu mnaomsema ninyi kwanza mnaomsema ninyi ni mwasisi wa haya yote kwanza waTanzania kuanzia udini,uoga, unafiki na uongo uongo wa ninyi wajinga wajinga

Kitendo cha yeye kumsema Amini ni gaidi wakati ni mtu bora hapo unafiki na uongo wake ulipodhihiri,na kumsema bwana yule wa mbinga na mwandishi wa kwanza BBC.swahili.ya kwamba ameolewa na wazungu hapo ndipo alipodhihirisha uongo na uungu wake wa kibinadamu( shame?

Napatwa na hasira kumtema huyo mtu kwamba number moja nachukia na natamani kumpiga mtu , kwanza yeye ndiyo chanzo cha umasikini wa nchi hii,uchawa wa nchi hii nakiri bila yeye nchii ingekuwa masikini lakini ndiyo hivyo ujinga mtupu

Namchukia baba maria,mama john na baba rosemary
Mwasisi wa uchawa ni mfumo mzima wa kichifu wa afrika uliokuwepo kabla ya kuja kwa wakoloni.

Wapambe wa machifu walikuwa watu muhimu wakiishi kwa kuwaambia mazuri tu mabosi wao ambao ni machifu wa wakati huo.

Mfumo wa kufurahisha familia za kichifu ulianza wakati huo ikawa ngumu kwa Mwalimu Nyerere kuuweka pembeni kwa asilimia mia moja.

Nyerere aliweza kuondoa uchifu lakini akashindwa kuondoa hulka zilizotokana na uchifu wenyewe.
 
Yule jamaa mwandishi wa habari wa kwanza wa BBC swahili na hakika ndiyo alistahili kuwa rais wa nchi hii sio huyu mnaomsema ninyi kwanza mnaomsema ninyi ni mwasisi wa haya yote kwanza waTanzania kuanzia udini,uoga, unafiki na uongo uongo wa ninyi wajinga wajinga

Kitendo cha yeye kumsema Amini ni gaidi wakati ni mtu bora hapo unafiki na uongo wake ulipodhihiri,na kumsema bwana yule wa mbinga na mwandishi wa kwanza BBC.swahili.ya kwamba ameolewa na wazungu hapo ndipo alipodhihirisha uongo na uungu wake wa kibinadamu( shame?

Napatwa na hasira kumtema huyo mtu kwamba number moja nachukia na natamani kumpiga mtu , kwanza yeye ndiyo chanzo cha umasikini wa nchi hii,uchawa wa nchi hii nakiri bila yeye nchii ingekuwa masikini lakini ndiyo hivyo ujinga mtupu

Namchukia baba maria,mama john na baba rosemary
👏🏿🫱🏽‍🫲🏿
 
Back
Top Bottom