Mwanza ni kugumu hususani kwenye kupata kibarua aisee

Mtu akipata kahela anakimbilia kujenga frem na nyumba za wapangaji.

Labda serikali ingeweka mazingira mazuri ya uwekezaji hawa wanaopata hizo pesa wangeweza kufanya hata joint-ventures wakaanzisha hata viwanda vya kati ajira zingepatikana na serikali ingepata kodi maradufu kuliko kujaza magofu nchini.
Mazingira yapi hayo ambayo unadhani Serikali haijafanya? Ni jambo la kushangaza kulaumu Serikali pasipohusika wakati Kuna watu wanafanya hayo unayosema Sasa sijui wao wakifanyaje bila Serikali.

Mpaka hapo tutakapoondoa akili ya kulaumu Serikali ndio tutaona fursa na kuzitafuta.Hakuna fursa inayokufuata kwenye mazingira ya ushindani
 
Sera mbovu za kodi ndio zinafanya watu wapeleke pesa kwenye projects ambazo hazizalishi ajira.
Ni bora mtu ajenge nyumba ya kupangisha kuliko kufungua kiwanda cha misumari ambacho kila siku Tra wanakusumbua
 
Mazingira yapi hayo ambayo unadhani Serikali haijafanya? Ni jambo la kushangaza kulaumu Serikali pasipohusika wakati Kuna watu wanafanya hayo unayosema Sasa sijui wao wakifanyaje bila Serikali.

Mpaka hapo tutakapoondoa akili ya kulaumu Serikali ndio tutaona fursa na kuzitafuta.Hakuna fursa inayokufuata kwenye mazingira ya ushindani
Mkuu kwa upeo wako huoni kama serikali ikiweka sera nzuri za kodi hivi viwanda vya mitaji mdogo vitastawi na kuzalisha ajira?.
 
Hujui unachoongea.Tena Kwa taarifa Yako tuu kwenye viwanda vidogo vidogo hakuna kero zozote Wala Kodi.

Kuingiza mitambo ya kazi ni gharama ndogo mno eg kuingiza trekta ni bei kiduchu kuliko kulipia Kodi paso.

Hamna kitu mnafuatilia ila kazi yenu kulaumu na ku likes page za kina Mange wakati wao wanaingiza pesa 😂😂
 
Mazingira yapi hayo ambayo unadhani Serikali haijafanya? Ni jambo la kushangaza kulaumu Serikali pasipohusika wakati Kuna watu wanafanya hayo unayosema Sasa sijui wao wakifanyaje bila Serikali.

Mpaka hapo tutakapoondoa akili ya kulaumu Serikali ndio tutaona fursa na kuzitafuta.Hakuna fursa inayokufuata kwenye mazingira ya ushindani
Sasa hivi Tra wanafunga account za wafanyabiashara hata kama wanakudai milion 5 ambazo hujalipwa na mteja, kibaya zaidi wanachukua Hela bila idhini yako.

Hayo ndio mazingira mazuri ya biashara?

Kaa na wafanyabiashara uwaulize watu wanakufa Kwa stress.
 
How correct is this info..?
 
Sasa hivi Tra wanafunga account za wafanyabiashara hata kama wanakudai milion 5 ambazo hujalipwa na mteja, kibaya zaidi wanachukua Hela bila idhini yako.

Hayo ndio mazingira mazuri ya biashara?

Kaa na wafanyabiashara uwaulize watu wanakufa Kwa stress.
Achana na huyo Chawa
 
TRA wanachukuaje hela bila idhini Yako? Hao ukiwakoromea mbona wanasanda? Pili Kwa nini hamlipi hata Kwa kupunguza?

Pamoja na hayo Wafanyabiashara wanasema hali ni nafuu kuliko tulikotoka.

Mwisho muwe mnatoa taarifa na lazima mjue wapi Kwa kutoa taarifa,tafuta pages za Wizara ya Fedha , biashara, Mawaziri husika nk mnatoa taarifa huko watafuatilia ila ukikaa kimya hawawezi kujua nini kinafanyika Kila Kona ya Nchi.
 
Ungekuwa unauza hata nyanya usingeandika huu upuuzi
 
Mimi Huwa sifanyi biashara za uchuuzi nalima na kufuga,hizo za uchuuzi ni prone Kwa TRA Iko hivyo Dunia nzima.

Extractive ni less taxed kuliko service industry.

Hushangai Mbeya ni ya 3 Kwa GDP kubwa Tanzania nzima,na ya 4 Kwa Watu wenye kipato kikubwa ila haipo hata top 10 ya Mikoa inayolipa.kodi nyingi TRA?

Unajua sababu? Jibu ni kwamba tuko kwenye Kilimo tunalima na kuuza shambani tunapata pesa zetu tunawaachia nyie wachuuzi mpambane na TRA na Kodi hatulipi.

Ukitaka Mali utaipata shambani uzuri tunalima mazao tofauti Ili bei ilianguka zao 1 ,zao jingine litusaidie.

Endeleeni kufungua frame.
 
Sawa

Barikiwa
 
Hujui unachoongea.Tena Kwa taarifa Yako tuu kwenye viwanda vidogo vidogo hakuna kero zozote Wala Kodi.

Kuingiza mitambo ya kazi ni gharama ndogo mno eg kuingiza trekta ni bei kiduchu kuliko kulipia Kodi paso.

Hamna kitu mnafuatilia ila kazi yenu kulaumu na ku likes page za kina Mange wakati wao wanaingiza pesa 😂😂
Wewe ndo hujui unachoongelea umebakiza tu kusifia. Na sijui kama umewahi kufanya biashara!
Ninachokupa hapa ni perspective ya jinsi ilivyo ngumu kufanya biashara kwa sera za kodi ya nchi yetu. Nalipa kodi kadhaa, mapato, paye vat, na nimeajiri watu kadhaa, hapa mjini, kadiri umri unavyosogea nafikiria kufunga hii biashara ili niwekeze kwenye solo projects ambazo hazitakuwa sensitive na mambo ya kodi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom