ushanpata???
nshakujua, apo zizou ndo ktaa changu..
ok,next tym nistue nami nikufahamu km hutajali!
Jp kama leo mwanza kuna utulivu saaana! Watu wakijiandaa na pirikapirika za blue monday, hujipa starehe ndogo ndogo karibu na makwao. Karibu tuchome nyama pande za Mkorani? Mbuzi katoriki mnatumia?
Njoo malimbe uone dunia ingine.
JF mlioko mwanza city nambie kiwanja kipi kizuri nikajichanganye nanyi tufaamiane.