Mwanza mpoo? Nimewatembelea leo

Jp kama leo mwanza kuna utulivu saaana! Watu wakijiandaa na pirikapirika za blue monday, hujipa starehe ndogo ndogo karibu na makwao. Karibu tuchome nyama pande za Mkorani? Mbuzi katoriki mnatumia?
 
Jp kama leo mwanza kuna utulivu saaana! Watu wakijiandaa na pirikapirika za blue monday, hujipa starehe ndogo ndogo karibu na makwao. Karibu tuchome nyama pande za Mkorani? Mbuzi katoriki mnatumia?

mh,mida ya kulala hyo. kha! i wish...
 
tembelea maeneo ya kilimanjaro bar hapo mabatini jioni tupate supu ya kichwa cha ngombe na ulimi, au twende malikusema hapo lango tukale kuku za kienyeji....huko malaika crest achia wa kushua ..dondoka mabatini mzazi kwa watoto wa town hakuna mafuriko usiogope
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom