Mwanza - Meya na Naibu wake wachaguliwa toka CHADEMA

Mpita Njia

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
6,997
1,163
Kwa mujibu wa matangazo ya RFA hivi punde... mgombea wa Chadema amepata kura 17 wakati wa CCM amepata kura 15 (sikuweza kuyakariri majina yao haraklaharaka) sasa hivi wanachagua naibu meya
 
Yanayotokea Arusha kwa Mwanza hakuna tena, ni baada ya haki kutendeka.

Source: RFA
 
Peopleeeeezzzzz!!!!!!!!!!!!!!!

Matokeo ya vurugu za jana zimewafanya washindwe kuchakachua matokeo.
CHADEMA tukomae kama kawaida mpaka kieleweke.
 
At least some good news to lighten up the day after! Thank you God for giving the people the leader they desire
 
Walikuwa wanatumia Arusha kama litmus paper kupima nguvu ya Chadema. Kuachia umeya wa Mwanza siku moja baada ya salamu za Chadema Arusha ni ishara kwamba CCM imesalimu amri kwa Chadema.

Aluta continua!
 
Yanayotokea Arusha kwa Mwanza hakuna tena, ni baada ya haki kutendeka.

Source: RFA

HONGERENI WAKAZI Wa MWANZA KILA MARA MMEFANYA UAMUZI SAHIHI ENDELEENI HIVI HIVI MTAPATA DHAWABU YA UONGOZI BORA NA UTAWALA SALAMA
 
Mshindi Meya wa Mwanza ni Julius Manyerere (Chadema) amepata kura 17 Wakati wa CCM amepata Kura 15 Naibu Meya wa Mwanza Mshindi Ni Charles Chibela ( Chadema) Amepata kura 18 wakati wa CCM amepata Kura 14
 
Back
Top Bottom