ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 13,912
- 27,460
Hawauzi wana kodishaKwan katiba ya Tanzania inasemaje ?
Na je maoni ya katiba mpya yanasemaje?
Juu ya kuuza mwili kwa lengo la kujipatia kipato
Hawauzi wana kodishaKwan katiba ya Tanzania inasemaje ?
Na je maoni ya katiba mpya yanasemaje?
Juu ya kuuza mwili kwa lengo la kujipatia kipato
Wale kama customer careNi Ile kupiga simu tu upo nije?
Ukipotea sana unaona simu unaulizwa jamani kwann siku hizi huji
Nimeanza kwenda hapo juzi tatizo lao awatoi tigo inaonekana kama sio wazoefu na hii kaziWale kama customer care
Ni dunia nzima hio business ipo na haikwepekiSio mwanza tu
Kila wilaya Tanzania au tuseme dunia nzima
Hii ni biashara pekee muuzaji anabaki na bidhaa yakeHuu mchezo kwa sasa umekuwa kama kunywa chai kwa chapati
Wasichana wanauza, wamama wanauza mpaka mabibi nao wanauza
Wacha unoko weweKuna maeneo ukipita usiku ni kama yamehalalishwa kwa ajili ya biashara ya ukahaba (Ngono) na mida ya saa mbili ukipita nyuma ya stand ya Nyegezi iliyopo Mwanza utadhani kuna shule ya wanafunzi wa kike waliopo bwwnu sijui kama serikali hailioni hili au ndio kupuuzia.
😂😂😂WeeUkiona supply ni kubwa, ujue demand nayo ipo hivyo hivyo...
Mbona huu mwandiko kama wa mnunua makahaba
Ndio safi hivo maana kumiliki demu gharama hafu full kujazwa stressThe Cask siku hizi napo wauzaji wamejaa
Halafu wa pale ni pisi za maanaNdio safi hivo maana kumiliki demu gharama hafu full kujazwa stress
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Ccm Kirumba, Mabatini, Nyegezi bei chee hadi buku mbili unapata.Kuna maeneo ukipita usiku ni kama yamehalalishwa kwa ajili ya biashara ya ukahaba (Ngono) na mida ya saa mbili ukipita nyuma ya stand ya Nyegezi iliyopo Mwanza utadhani kuna shule ya wanafunzi wa kike waliopo bwwnu sijui kama serikali hailioni hili au ndio kupuuzia.
Sehemu gani?MAGIDA lodge
Wanachuo kibao pale ni pesa mbele kama kawaHalafu wa pale ni pisi za maana
Pote huko unapajua naomba nakuja dm nataka unipe maelekezo zaidiCcm Kirumba, Mabatini, Nyegezi bei chee hadi buku mbili unapata.
Daimond, Cask, Malimbe, Bucket, Bundesliga, Deluxe, The Dreams, Hakiimi, Las Vegas hapo unapata kuanzia buku ten hadi 50.
Tunza beach, Malaika, Tilapia, hapo unapata kuanzia elf 60 hadi laki mbili
Hiyo ni biashara ya tangu zama na zama,, hawa watu wanasaidia kupunguza ubakajiKuna maeneo ukipita usiku ni kama yamehalalishwa kwa ajili ya biashara ya ukahaba (Ngono) na mida ya saa mbili ukipita nyuma ya stand ya Nyegezi iliyopo Mwanza utadhani kuna shule ya wanafunzi wa kike waliopo bwwnu sijui kama serikali hailioni hili au ndio kupuuzia.