Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,258
- 20,712
Hivi mkuu Eiyer, zile nyumba pale jirani eti hazitabomolewa. Zile ghorofa mbili na nyumba zilizo jirani yake?
Mkuu,unazizungumzia zipi?
Zile ambazo ziko ndani ya eneo la Mall,zile za macontractor au zile za nje ya eneo la Mall?
Kama ni zile ambazo ziko nje nilipata taarifa kuwa zitaondolewa lakini baadae wakasema hawataziondoa,lakini ngoja tusubiri muda ufike ndio tutathibitisha
Kama ni zile za ndani wataziondoa wakimaliza kazi .....!!