Mwanza City on a major Shopping project

sizan ndugu yang
chek out ma no.
ntakuunganisha na msemaji mkuu wa jengo hilo manake me ni fundi tu
 
unaweza ntafuta pia kwa mambo ya gardening na sanamu mbalimbalo
 
Attachments

  • 1415721132523.jpg
    1415721132523.jpg
    62.4 KB · Views: 397
  • 1415721159860.jpg
    1415721159860.jpg
    45.7 KB · Views: 371
  • 1415721261581.jpg
    1415721261581.jpg
    103.1 KB · Views: 371
Ni muda mrefu sana tangu niondoke MWANZA, nimeskia kuna miradi mikubwa sana ya kibiashara inayoendelea kujengwa hapo mjini, ikiwa ni pamoja na MWANZA CITY COMPLEX, Kituo cha kibiashara cha B.O.T pale ilipokuwa CLINIC ya zamani, pamoja na uwanja wa ndege wa kimataifa wa MWANZA.

Nimekuwa na wasiwasi sana kuhusu barabara kuu itokayo city centre kuelekea AIRPORT kama itaweza ku accomodate magari yatakayokuwa yanatumia barabara iyo. Nahisi taabu kubwa waliyo nayo wakaazi wa DAR es SALAAM, sasa itakuwa MWANZA kwani sidhani kama CITY COUNCIL wamejipanga kikamilifu kuhusu ilo.

Mimi naona ni vyema barabara hiyo sasa ikapanuliwa kuwa njia nne, na si kusubiri mpaka ifikie hali kama ile ya DAR es SALAAM.

ACHA MAONI PLEASE !!!!!!!!!!!!!

Mpango wa upanuzi wa barabara ulikuwepo kitambo. Kikwazo ni jengo la CCM mkoa ambalo itabidi livunjwe kuutekeleza.
 
Mpango wa upanuzi wa barabara ulikuwepo kitambo. Kikwazo ni jengo la CCM mkoa ambalo itabidi livunjwe kuutekeleza.

imagination niliyonayo mwanza ya 2018
barabara zitakuwa tabu sana ukizingatia mji wetu ni miamba kila kona
ni tabu sana badae
 
Trade |
Published On: Fri, Dec 30th, 2011

Mwanza-City.jpg

Mwanza City

The Mwanza City Council from March next year is expected to implement a giant multi-billion commercial complex project aimed at stimulating businesses and attracting more investors in the region.

Mwanza city Assistant Economist and Planning Officer, Joseph Kashushula told the ‘Daily News’ on Friday that all the necessary preparations have been completed and that the commercial complex would be located at Ghana Area in Ilemela District.

He said the project is expected to stimulate businesses across the Lake Zone and the East African Community at large, “The project is expected to take three years and it is a joint venture between the Mwanza City authority and Local Authority pension Fund (LAPF),” said Kashushula.

Mwanza City Council project Manager, Eng Fuko Koyoye said the project upon its completion is unprecedented one, “It will include playing centres for children, a big parking space for 4,000 to 5,000 cars.

Other features include a special garbage collection facility, giraffe columns and space for financial institutions, just to mention a few,” says the project manager.

Meanwhile, Mr Kashushula says implementation of the road project which will cost about 8bn/-, has already started and it is expected to increase the number of kilometres of tarmac road across the Mwanza city from the current 27.1 kms to at least 45.4 kms.

The project is being implemented under the Tanzania Strategic Cities Projects (TSCP) through the support of the World Bank and Royal Danish Embassy (DANIDA). He said the implementation will be in two phases.

The roads to be rehabilitated under phase one are, the Pasiansi to Buzuruga Road (7.4 Kms), Sanga to Kiloleli Road (2 kms), Karuta Road (0.5Km) and Libert Street Road (0.3Km).

Under phase two, the roads include:Mkuyuni to Butimba Road (2.5km), PepsiRoad (1.1Km) and Tunza- Airport- Road (4.5 km).

Experts say Mwanza City is a fast growing city in East Africa. Currently, it is estimated to have a a population of over one million people and its growth rate stands at 3.2 per cent per annum.

By MOSES MATTHEW, Tanzania Daily News

Mrejesho tafadhari. Naona uzi wa kitambo huu.
 
No level za east Africa bado itasubiri sana, hata mlimani city ni kubwa kuliko hii, bado kuna Westgate Nairobi

Acha uongo wewe, mlimani city ni ndogo na local kwa hii, kuanzia majengo, ukubwa, designing na muonekano. Rocky city mall ina car parking 660, pikipiki zaidi ya 300 na baiskeli zaidi ya 100 ImageUploadedByJamiiForums1416222772.950073.jpg
Angalia muonekano
 
Acha uongo wewe, mlimani city ni ndogo na local kwa hii, kuanzia majengo, ukubwa, designing na muonekano. Rocky city mall ina car parking 660, pikipiki zaidi ya 300 na baiskeli zaidi ya 100View attachment 203139
Angalia muonekano

Mlimani City nilishiriki kuijenga mwaka 2005/2006 nilikuwa pale na Noremco. Jengo lina upana wa mita 72 na urefu wa mita kama 129 hivi. Car Parking ile nilishiriki kuijenga imesanifiwa na kwa sasa ndiyo uwezo wake ni wa kuchukua magari 3000. Kadri nianavyo hiyo prototype( au 3D) ya mdau, bado hiyo Mall ya Mwanza ni ndogo kuliko Mlimani City. Uwezo wa Car parking ya Quality Centre ni magari 800 tu, hayazidi 1000. Hivyo kwa haraka Mlimani City ni kubwa kwa sasa labda Westgate ndo inamzidi.!
 
Sexer ni mtoto mdogo tu huyo hajui kitu. quality centre yenyewe walipiga kelele, 'oh! kubwa kuliko'. wapi? ukienda pale ni kama umeenda posta, parking hazitoshi. mlimani city ndo mambo yote, the busiest single place in tanzania. pale kuna shopping mall, ambayo hata hiyo mall ya mwanza haifikii, then kuna executive park ambayo ni kubwa tena kwa eneo lote la hiyo ya mwanza. hapo utakuta corporate offices za voda, tib, na wengine, na conference centre.
 
nasikia eti baada ya miaka 100 mlimani city itakuwa mali ya UDSM
 
Sexer ni mtoto mdogo tu huyo hajui kitu. quality centre yenyewe walipiga kelele, 'oh! kubwa kuliko'. wapi? ukienda pale ni kama umeenda posta, parking hazitoshi. mlimani city ndo mambo yote, the busiest single place in tanzania. pale kuna shopping mall, ambayo hata hiyo mall ya mwanza haifikii, then kuna executive park ambayo ni kubwa tena kwa eneo lote la hiyo ya mwanza. hapo utakuta corporate offices za voda, tib, na wengine, na conference centre.
Hivi umeshatembelea maeneo yote mawili au unaongea tu basi?
 
Back
Top Bottom