hv wadau hii kitu imefikia wapi
Ukishafika mwanza unapanda gari za wapi hadi kufikia hapo?
Rock city mall mzigoni
hv wadau hii kitu imefikia wapi
Hiv mlimani city zko mbili au, na hiyo parking unayoisema iko upande gan mwa mliman city, ile parking ya mliman city kwa hii ziko mbili, acha kupotosha naweza kubaliana kwa mbali na mtu aliyejadil kuhusu wakandarasi na wajenzi wa mliman city lakin kwa ukubwa na uzuri hii kitu iko mbali sana.Naamini hata kama ni ghorofa, kwa prototype hiyo, haiwez kuifikia Mlimani City, mark my words! Hata parking bado haiwez kuwa sawa na pale Mlimani City. Hiyo ya Mwanza inakisiwa kuchukua magari 7000 kwa siku, wkat Mliman City ni magari 3000 kwa wakati mmoja! Hata hivyo hongera jiji la Mwanza kwa Mall ya kisasa
Kuhusu umiliki wa Serikali au Umma kwa ujumla pale Mlimani City, kwa kuwa nilikuwa tu upande wa ujenzi, tuliambiwa kuwa mradi ni wa miaka50 chini ya Mwarab wa Botswana, mwenye Malls nyingi kule SAfrika. Katika kipindi hicho, Mwarab atalipa kodi za serikali, atawapa mgawo kidogo UDSM, baada ya hapo ataipa serikali na kwa hapa ni UDSM. Mfumo huo unaitwa ni BOOT- Build, Own, Operate and Transfer! Huu ni tofauti na BOT au PPP, japo una mambo ambayo yanafanana!
Wamejitahidi sana!
kiukweli nimevutiwa nalooo ila ndo ivo naambiwa limeshajaaa
hiyo mall ni mpango wa mabura mkimupa ubunge atajenga zingine nne nyamagana
hiyo mall ni mpango wa mabura mkimupa ubunge atajenga zingine nne nyamagana