Mwandishi wa habari Arusha 'asutwa'

ngurdoto

Member
Aug 19, 2010
58
23
Habari wadau

Tukio la jijini hapa Mwandishi wa Habari Leo John Mhala amewekwa kati na genge la wanawake kutoka DSM na kujikuta akisutwa na kupakwa matusi kedeke baada ya kudaiwa kusambaza picha za ngono za kocha wa timu ya AFC Arusha aliyekuwa akila uroda na mke wa mchezaji wake.

Kazi maalumu ya kumsuta Mhala ilifanyika pembezoni mwa Jengo la CCM Mkoa wa Arusha majira ya jioni.

Nawasilisha

HABARI WADAU;

tukio la jijini hapa Mwandishi wa Habari Leo John Mhala amewekwa kati na genge la wanawake kutoka DSM na kujikuta akisutwa na kupakwa matusi kedeke baada ya kudaiwa kusambaza picha za ngono za kocha wa timu ya AFC Arusha aliyekuwa akila uroda na mke wa mchezaji wake.

Kazi maalumu ya kumsuta Mhala ilifanyika pembezoni mwa Jengo la CCM Mkoa wa Arusha majira ya jioni.

nawasilisha...

picha, video, sauti!!?
 
Habari Leo wana waandishi wa habari au wana makanjanja? Kile ni kijarida kipeperushi cha ccm
 
Habari wadau

Tukio la jijini hapa Mwandishi wa Habari Leo John Mhala amewekwa kati na genge la wanawake kutoka DSM na kujikuta akisutwa na kupakwa matusi kedeke baada ya kudaiwa kusambaza picha za ngono za kocha wa timu ya AFC Arusha aliyekuwa akila uroda na mke wa mchezaji wake.

Kazi maalumu ya kumsuta Mhala ilifanyika pembezoni mwa Jengo la CCM Mkoa wa Arusha majira ya jioni.

Nawasilisha

na wewe utasutwa
 
Hao ndo aina ya wanawake waliobaki dar,vigodoro vimeshawamaliza akiri na aibu
 
Maana hata sielewi ndio nini.
Sasa kama huyo Kocha ni mzinifu? aendelee tu kuchukua wake za watu kisa.
Hao kina mama nao kanza wachunguzwe,wasijekuwa nao vimeo vinaona kazi kwao inafuata.

Mwandishi yupo sawa tu,napia tujue kazi za waandishi wa habari na vyombo vyao,sio kulaumua.

Ngonoka uone balaa,picha still mnato.Ndio maana hii timu ilikuwa Hovyoooooooo
 
Habari wadau

Tukio la jijini hapa Mwandishi wa Habari Leo John Mhala amewekwa kati na genge la wanawake kutoka DSM na kujikuta akisutwa na kupakwa matusi kedeke baada ya kudaiwa kusambaza picha za ngono za kocha wa timu ya AFC Arusha aliyekuwa akila uroda na mke wa mchezaji wake.

Kazi maalumu ya kumsuta Mhala ilifanyika pembezoni mwa Jengo la CCM Mkoa wa Arusha majira ya jioni.

Nawasilisha

Hapo Arusha majira ya jioni ni kuanzia saa ngapi mkuu...
 
sasa.....?
Sasa nini tena Kabanga, ndo tunajulishwa raia kwamba "chombo chetu cha serikali" kimekuwa na waandishi ambao hawajaona cha kuandika sasa wamehamia kwenye udaku. Si akajiunge OFM tujue moja?
 
Back
Top Bottom