Mvaa Tai
JF-Expert Member
- Aug 11, 2009
- 6,159
- 4,443
Mwandishi wa Gazeti la kila wiki la Mwanahalisi Ndugu Joster Mwangulumbi ametishiwa kuuawa na mmiliki wa simu namba 0652916931 Siku ya jumamosi, june 4, 2011. Mara ya kwanza aligiwa simu kumueleza ajiandaye na kifo mara ya pili iliingia sms ikionyesha kama ilikosea kuingia kwake bali ilikuwa iwafikie wauaji wenzake, SMS hiyo inasomeka kama ifuatavyo; "Nipo Segera, hakikisha petrol ipo ya kutosha, bastola nakuja nayo wasiliana na Hangi kwa namba 0759221096 aandae ninja za kuficha uso"
Source Mwanahalisi la leo
Source Mwanahalisi la leo