Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 119,559
- 142,330
comment zako huwa nazifatilia sn kijana unatisha sana
Mwenye macho haambiwi tazama. Inajulikana anachotafuta nini...
comment zako huwa nazifatilia sn kijana unatisha sana
Tuache na monica wetu urafiki kusaidiana kwenye shida
mwache mwenzio .. anatafuta mtu wa kuflirt
tatizo la wengi wanataka mpaka watafuniwe lohMwenye macho haambiwi tazama. Inajulikana anachotafuta nini...
We sasa unatafuta kubemendwamimi nina miaka 12 vp nafaa
Hahahaha! Pale raia wanapodili na facts...
mwache mwenzio .. anatafuta mtu wa kuflirt
Hiyo 30 ni ya kwenye post tu, ya kwenye prof ni 46 usikute ana miaka 50 au zaidi30 kwenda mbele bado unataka tuchat habari za kipumbavu tu, kua sereous ueleze lengo lako
mwanaume we una kuflirt bure ?Ha ha ha, nimekuona nikawaza nani atalipia hizo flirt ni mwanaume au yeye mwenyewe!
mwanaume we una kuflirt bure ?
hapana bana ila mtakubalianaKulikuwa na uzi uliletwa humu jamaa akisema eti 2016 hatahangaika kumridhisha mwanamke, kama mwanamke anataka kuridhishwa alipie.
Siyo hela atoe mwanaume halafu mwanamke ndo atafute kuridhishwa, na kwa huyo dada kwa sababu yeye ndo anataka kuflirtishwa inabidi alipie, maana yeye ndo mhanga.
hapana bana ila mtakubaliana
nipe namba zakoHabari zenu?
Natafuta mwanaume wa kuflirt nae, yaani chart za hapa na pale awe tayari kuwa rafiki yangu pia.
Umri kuanzia miaka 30 kwenda mbele, mimi nina miaka 30 pia.
Ambaye yupo huru na anajiamini ani PM.
Kuchelewa kuzaliwa nako tabu kweli dah kila anayetaka rafiki wa kiume jf anataka above 30Habari zenu?
Natafuta mwanaume wa kuflirt nae, yaani chart za hapa na pale awe tayari kuwa rafiki yangu pia.
Umri kuanzia miaka 30 kwenda mbele, mimi nina miaka 30 pia.
Ambaye yupo huru na anajiamini ani PM.
ameshapataAtapata tu lakini, humu tumo wengi.
Na mpaka sasa lazima PM zimejaa.
ameshapata