Mwanaume, Una miaka 26? Ingia kwenye ndoa, acha uoga

Wasaidie waelewe
KWANINI WANAUME WANAKUFA MAPEMA..
OA NA 30YRS AMA 32YRS
ADD MWAKA MMOJA MTAFUTE MTOTO
ATAZALIWA 31 YRS
NAHIZII SIJUI MIDDLE.PREUNIT ONGEZA 10YRS ANAMALIZA LA SABA..UNA 41 URS

AFANIKIWE KWENDA MOJAKWA MOJA FORM ONE TO FOUR
MIAKA 4 HIO
UNA 45.....
ASIRESIT AENDE FIVE NA SIX
MIWILI HIO UNA 47

AENDE CHUO DIR 3YRS MXM
UNA 50

AKAE MWAKA MMOJA ATAFUTE KAZI
UNA 51........

HAPO N AJAFELI HATA KIDOGO SIJAWEKA MIAKA YA KURESIT NA KAMA ANA INTERN...

ALLH ATUSAIIDIE
Nani amekuambia kila mtu ame plan mtoto wake asome mpaka chuo kikuu kusomea ujinga.
 
Kuna msemo WA kataa ndoa ni msemo WA kioga kwa wAnaume Sababu kuu ya kataa ndoa ni.

Éti Wanawake ni wapenda hela, wajeuri hawajatulia.n.k.

Unakuta a man ni 29yrs anaogopa kuoa mwanamke mwenye elimu,pesa au mzuri kisa Eti atamsumbua

Bro kaza kiume ingia kwenye ndoa mpe mwanamke wako vigezo na masharit ya ndoa halafu stay real focus n'a maisha

Mwambie mwamke wako akupende asikupende Ila kukuheshimu ni lazima

Mwambie hakuna second chance akikucheat anarudi nyumban kwao stay strong .

tongoza mara moja kama hakutaki achan nae wanawake ni mwengi sana.

miaka 30 ni Muda WA kutafuta mtoto WA pili Mwanaume
FB_IMG_1702355154416.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna vijana wanajidanganya eti nitaoa nikifikisha 35 au 40 nikishakuwa na nyumba na Gari kweli unaweza pambana ukavipata. Ila jee usipovipata.? Ukifikisha miaka 35+ na hauna kitu kupata mwanamke anaejielewa inakuwa ngumu maana mvuto unakuwa umeshaisha yaani unakuwa mzee halafu huna pesa utaishia kupata mwanamke wa hovyo hovyo either aliedanga sana akaachwa single maza etc

Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
Ndoa inawashinda wapate gari
Wanaumwaaa
 
Kuna vitu vya kimaendeleo kama hujafanya ukiingia kwenye ndoa uwezekano wa kuvifanya inabaki kuwa 5%, ndo yaleyale ya kuanza ujenzi na kuhamia kwako na familia nyumba haina sakafu wala ceiling board. Dogo anaanza la kwanza mpaka anaingia form one bado unapambana na ela ya kuweka madirisha na tiles. Hayo maisha mimi binafsi nimeyakataa. Bora niishi single kibabe ndani kila kitu standard na usafiri juu nyumba ya kupanga nikiwa single huku nikipambana na ujenzi taratibu bila pressure kutoka kwa kiumbe chochote kuliko kulazimisha kuoa na kuanza kuangaika na binadamu mwingine ambaye hata sijui kakulia wapi. Sipingi ndoa ila vijana wanakurupuka na wanajikuta wamenasa na kurudi nyuma hawawezi. Ndoa ni sawasawa na kununua gari ela yote wakati huna kazi ya kueleweka, jamii inakusifu unatembelea matako huku taa ya mafuta muda wote inawaka, hata service ni ishu, kupanda daladala unaona noma, uzuri wa gari waweza kuliuza hata kwa hasara Ili ujipange upya. Ila mke unaye tu, ulikosea ulipatia wako tu. Ana akili za maisha hana unaye tu. TILL DEATH DO YOU APART. Changeni karata zenu vizuri kabla ya kukurupuka.
Kuna wanawake wana nyota zao usipime...
 
Mi nawaza ubilionea mzee masuala ya kuleteana mtu wa kunihoji kwann umerudi saa tisa usiku sitaki kuskia, afu ubilionea inakua na Siri nyingi sitaki mtu wa kuingilia mambo yangu
Halafu Ile michezo ya kuongeza wingi katika vitu vyangu, sitaki.
👉Mara ohh gari yetu, nyumba yetu. biashara yetu.
👉Afu ana taka tuachane, Eti 50/50 what the https://jamii.app/JFUserGuide😆😃😃.
Mpaji Mungu
 
Ukipata mwanamke anayematch na falsafa zako, hata kama bado unajitafuta muoe urahisishe njia ya kufikia malengo yako maana hautakuwa peke yako kwenye kuifukuzia target yako.
nilipatg ila alipokuja kutan na wanaofanya kazi akadai anitaji supportive partner
 
Iko hivi, kupata mwanamke wa kuoa anayejitambua na anayefaa kuwa mama wa familia aliye na miaka 29 na kuendelea ambaye bado yuko sokoni ni nadra sana. Pia kupata mwanamke wa kuoa anayejitambua na anayefaa kuwa mama wa familia aliye chini ya miaka 28 anayekubali kuolewa na mwanaume above 35 ni nadra sana.

Hivyo basi unapotaka kuoa ukiwa na 35 or above jua uko likely kuangukia kwa either a young gold digger au aged reject. Ni wachache sana bahati inaendelea kuwa upande wao katika umri huo.

Nna watu zaidi ya 5 ninaowajua waliooa in their late 30's na hawakudumu kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka 3, wakadivorce na kuanza migogoro ya mali. Hili jambo ni nadra sana kulisikia kwenye ndoa za watu waliooa in their late 20's.

"MWENYE SIKIO LA KUSIKIA NA ASIKIE"
Umri ni namba
 
nyokooo wee.
Hebu tafuta maokotoo kwani.
Cocastic kwani maokoto ndio yanaweza kufanya nisiwe na hata furaha kwer unadhani niratoboa kwer hizo njia za kupata maokoto zenyewe ngumu kama nini maana mtu anapambana anaishia kupata okoto la kubadirisha mboga
 
Nyie subirieni hadi muwe na majumba na magari ndio muoe ila sisi wenzenu tulioa hatuna chochote zaidi ya kupendana kwa dhati lakin sasa iv maisha mazuri kabisa vitu vinakuja tu. Na nina amani kwa sababu najua mke wangu ananipenda na sio gold digger.
Mimi naamini katika ndoa mkipendana kwa dhati na mkiwa na akili ni rahisi sana kutoboa kuliko ukiwa single.
Kuna 90% ukioa katika umri mdogo ukapata mwanamke bora na anaekupenda kuliko ukioa ktk 35yrs and abov na ww kuna uwezekano wa kupata mwanamke wa 30 yrs and abov ambae huyu kashatendwa sana so hana mapenzi yale ya dhati mnaoana yani tunaita ile kustiliana tu.
 
Nyie subirieni hadi muwe na majumba na magari ndio muoe ila sisi wenzenu tulioa hatuna chochote zaidi ya kupendana kwa dhati lakin sasa iv maisha mazuri kabisa vitu vinakuja tu. Na nina amani kwa sababu najua mke wangu ananipenda na sio gold digger.
Mimi naamini katika ndoa mkipendana kwa dhati na mkiwa na akili ni rahisi sana kutoboa kuliko ukiwa single.
Kuna 90% ukioa katika umri mdogo ukapata mwanamke bora na anaekupenda kuliko ukioa ktk 35yrs and abov na ww kuna uwezekano wa kupata mwanamke wa 30 yrs and abov ambae huyu kashatendwa sana so hana mapenzi yale ya dhati mnaoana yani tunaita ile kustiliana tu.
Wake za watu saiv wako vibe gold digger we mtu ana mtoto wa miezi tisa na ananyonyesha alafu anaenda kundinyana nje angali ana mme ndani huu sio uungwana kabisa marufuku kula mke wa mtu
 
Back
Top Bottom