Mwanaume, Una miaka 26? Ingia kwenye ndoa, acha uoga

Mesehomie

Member
Oct 25, 2023
30
177
Kuna msemo WA kataa ndoa ni msemo WA kioga kwa wAnaume Sababu kuu ya kataa ndoa ni.

Éti Wanawake ni wapenda hela, wajeuri hawajatulia.n.k.

Unakuta a man ni 29yrs anaogopa kuoa mwanamke mwenye elimu,pesa au mzuri kisa Eti atamsumbua

Bro kaza kiume ingia kwenye ndoa mpe mwanamke wako vigezo na masharit ya ndoa halafu stay real focus n'a maisha

Mwambie mwamke wako akupende asikupende Ila kukuheshimu ni lazima

Mwambie hakuna second chance akikucheat anarudi nyumban kwao stay strong .

tongoza mara moja kama hakutaki achan nae wanawake ni mwengi sana.

miaka 30 ni Muda WA kutafuta mtoto WA pili Mwanaume
 
Kuna vitu vya kimaendeleo kama hujafanya ukiingia kwenye ndoa uwezekano wa kuvifanya inabaki kuwa 5%, ndo yaleyale ya kuanza ujenzi na kuhamia kwako na familia nyumba haina sakafu wala ceiling board. Dogo anaanza la kwanza mpaka anaingia form one bado unapambana na ela ya kuweka madirisha na tiles. Hayo maisha mimi binafsi nimeyakataa. Bora niishi single kibabe ndani kila kitu standard na usafiri juu nyumba ya kupanga nikiwa single huku nikipambana na ujenzi taratibu bila pressure kutoka kwa kiumbe chochote kuliko kulazimisha kuoa na kuanza kuangaika na binadamu mwingine ambaye hata sijui kakulia wapi. Sipingi ndoa ila vijana wanakurupuka na wanajikuta wamenasa na kurudi nyuma hawawezi. Ndoa ni sawasawa na kununua gari ela yote wakati huna kazi ya kueleweka, jamii inakusifu unatembelea matako huku taa ya mafuta muda wote inawaka, hata service ni ishu, kupanda daladala unaona noma, uzuri wa gari waweza kuliuza hata kwa hasara Ili ujipange upya. Ila mke unaye tu, ulikosea ulipatia wako tu. Ana akili za maisha hana unaye tu. TILL DEATH DO YOU APART. Changeni karata zenu vizuri kabla ya kukurupuka.
 
Well said
 
Aisee, sikukatishi tamaa ila wengi wa wanaosema "hadi nifanye jambo fulani ndio naoa", hawafikii malengo yao na maisha yanaendelea kuwanyoosha tu.
 
Back
Top Bottom