platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,366
- 11,157
Acha wivu..ukiskia mtoto wa kiume anatongozwa ndo leo!
Naona mambo yamekunyookea....dawa yao ndogo hawa, hapo hata sura hawaijui............usisahau kuazima Volg au BM wallah unaua mnyama
Acha wivu..ukiskia mtoto wa kiume anatongozwa ndo leo!
msuguano na service mkuu! sasa uisugue tu bila matunzo??
Nimeuliza tu swali.... Life is hardi kila sehemu but kwa maneno kama haya mkeo apewe pesa na nani..? Akimegwa je utamlaumu nani?
Hili jambo la kuhonga a.k.a kupigwa mizinga na mpenzio kwa kweli sio la ku'generalize'....wengine tusipopigwa mizinga na wapenzi wetu vichwa vinauma tukihisi tushaanza 'kuibiwa'!
Unapatikana mitaani gani wewe?
Hili jambo la kuhonga a.k.a kupigwa mizinga na mpenzio kwa kweli sio la ku'generalize'....wengine tusipopigwa mizinga na wapenzi wetu vichwa vinauma tukihisi tushaanza 'kuibiwa'!
Jamaa acha ubahiri yaniwe laki 3 au 4 unalalamika, so wakati unamtongoza haukujua kua anahitaji kuhudumiwa..? kama haujui wajibu wako, kaa pekeyako bila mwanamke, pale unampo mpa haumuongi ila unawajibika kwake.....:welcome:
Mkuu Ivuga, hapa hajaongelewa mke, hope ni girlfriend.
Mke akinunua dressing table hiyo ni ya familia, ila sio ile dressing table ya gf, ile ni yake.
Mke ni ishu tofauti. Mume ana wajibu kwa mewe kama ilivyo wajibu wa mke kwa mume
yani saint umeongea kweli kabisa wanaume wamekuwa tegemezi siku hizi tena sana hasahasa vijana wanataka kupewa lakini kutafuta wamekuwa wavivu sana yaani mimi nashangaa kabisa kwani wa kuumbwa mwanzo alikuwa mwanamke si mwanaume na akaambiwa na Mungu aende kulima bustani ndipo anapata chakula chake hapo sasa iweje wanaume wa siku hizi wawe wavivu kufanya kazi wanategemea kupewa tu yaani ungekuwa karibu SAINT ningekupa tano za juu mimi wamenikera sana hao. BIGUP SAINT
Dah! Hakika ndugu yangu Saint Ivuga umenena, kuna siku nilishawahi kutupia thread ambayo inafanana na hii yako, kwakweli kina dada wa aina hiyo (hasa wenye dhana ya kumtumia mwanaume) wananikera mno, Niko na washkaji zangu ofisini... baada ya kuona hii thread yako nikawaonyesha.... yaani kila mmoja amezungumzia uzoefu wake na kuponda mbayaa! Mara nyingine inatokea mtu ana shida kweli na anapoomba anamaanisha... lakini kuna wale tegemezi ambao wanavizia kuwachuna tu wanaume ni balaa zaidi.
-Juzi umeombwa hela ya kushona nguo ya kitchen Party
-Jana umeombwa hela ya kununua simu
-Leo unaombwa hela za nauli (eti kwenda kumsalimia bibi huko kwao Singida)
-Kesho yake unaombwa utume hela kwa tigo pesa za zawadi kwa ndugu zake..
-Siku inayofuata unaombwa hela za kula
-Siku zote hizo unaombwa hela za vocha...
Unakuta hiyo relationship ime-exist kwa kama wiki mbili then anaanza kukupiga mizinga yote hiyo... halafu pia binti huyo huyo wakati ananipiga mimi mizinga... kuna wanaume wengine kama 6 nao wanapigwa mzinga at the same time. Maana yake ni kuwa akipiga mzinga kwa watu 6 huenda akafanikisha kupata kwa watu watatu... then binti ana-swich sababu anazoombea hela toka kwa mmoja kwenda kwa mwingine... I hate it!
Halafu maskini ya mungu unakuta wanaume hao wote hawajui kama wanaibiwa... unaitwa majina yote... sweet, love, honey, baby, dear, husband na mengine yote! Natamani ningetoa darasa kwa wanaume wote duniani kuwatambua mabinti wezi wa aina hiyo, maana binti mwizi hata ukionana naye kwa siku 2 tu utamjua. Nawafurahia sana kina dada ambao wako stable, straight, with dignity, wenye mapenzi ya kweli kwa wenzi wao... hata inapotokea wakatendwa wanaume wao hakika inaniuma sana. Lakini wale ambao wanasimamia kuvuna kwa wanaume... hao hata wakakaa milele pasipo kuolewa ni sawa tu, kwani wao styles zao itakuwa ni kurukiwa na kukimbiwa.
...haya hilo moja.
..Mara utasikia Baby naomba hela nipande Bajaj
daladala ntachafuka,sio mbaya its ok,sh ngapi Bajaj
itakutosha..Elfu 30..khaaKwani siku hizi kuna Bajaj za Dar kwenda Moro?Arrgh bora chama la Bachela,wizi
mtupu...Bado hujaombwa hela ya BBM ime-expire.Si
ununue mwenyewe,kama huna na wewe Expire.
bora mmwambie!
iko hivyo kwasababu ndio impression aliyoipata mdada. so far kama ulipendezwa na kuangalia sura yakke lazima ulipie ati mjini kila kitu gharama na kinatunzwa. basi tuseme ilibidi ulipie vili kesho uikute tenaTayari nimeshageuziwa kibao! Nimesema hivi; nilimtania kuwa sihitaji kuangalia TV ila sura yake FULL STOP! Hakuna kilichozidi wala kupungua. Hilo la tip mie hutoa kwa kila mhudumu (awe mwanaume au mwanamke) bora tu niwe naweza kutoa siku hiyo. Hilo la kujifanya unashangaa iweje niombwe hela ya matumizi ndio sababu yangu ya kukuulizeni nyie hapo wadada (na nilianza kukutaja wewe gfsonwin, na kina Kongosho, Kaunga, MadameX). Acha kuruka viunzi, JIBU SWALI: iweje iwe ilivyokuwa???
.
Got it madame?