Mwanaume ukilalamika hivi hutokuja kuoa, sasa unataka mkeo apewe pesa na nani?

Acha ubahili Saint Ivuga! mbona laki tatu ni pesa ndogo sana. Labda kama hujapata uliyempenda hasa. Mimi wangu aliniomba pesa ya bajaji, nikaona isiwe tabu nikampeleka show room kuchagua kitu BMW X5 , cha bei rahisi tu m 270.
 
Boflooooo upoooo? Ndio maana nikampa G'Allen binti yangu; nami mimi mama yake ameniahidi kaHarrier.
 
Last edited by a moderator:
duh, heri yangu mie nshasahau kuomba pesa bali napewa tu. nshapewa kimtaji changu cha nyanya na kila mwisho wa wiki pesa ya matumizi inaingia. vocha hata sijui bei yake. . . huo ndo uanaume bana! iwapo nitaomba pesa ujue ni pesa ya dharura ambapo ni nadra sana na sio pesa ya kitoto bali pesa ya maana km ujenzi na vitu km hivo, sio pesa za kitoto mara salon,usafiri,nguo,viatu n.k! endelea hivyo hivyo
 
bora mie mme wa wajane na baba wa yatima
Kama Wanawake wataendelea na hii tabia,sitoshang
aa wanaume kuendelea kuweka mgomo wa kuoa
na kuendelea kulalamikiwa kwamba
wanawachezea...
Hivi inakuwaje unaanza uhusiano na mtu,hata wiki
hujamaliza unaanza kumwambia Baby naomba kama una laki 3 haina kazi ya haraka haraka
natakiwa nikakomboe dressing table yangu kwa
fundi...Laki 3 ya haraka haraka??Mshahara wenyewe
tu sipewi haraka haraka nausubir
i hadi mwisho wa mwezi,we hiyo haraka haraka
itatokea wapi??Kama unadhani kuna hela ya haraka haraka itafute uone,mbona we hauna?Dressing
Table uweke oda ww,mimi sikuwepo,halafu kuilipia
unapiga mzinga huku...haya hilo moja.
..Mara utasikia Baby naomba hela nipande Bajaj
daladala ntachafuka,sio mbaya its ok,sh ngapi Bajaj
itakutosha..Elfu 30..khaaKwani siku hizi kuna Bajaj za Dar kwenda Moro?Arrgh bora chama la Bachela,wizi
mtupu...Bado hujaombwa hela ya BBM ime-expire.Si
ununue mwenyewe,kama huna na wewe Expire.
 
kumwomba mme wako pesa ama kumueleza matatizo yako ni hakia ya kila mwanamke mm nafurahi sana mke wangu akinipa matatizo yake
 
Aaaaah, Boflo siyo mambo hayooo. Mbona unataka kuniharibia kwa mama mkwe. Mimi bonge la tajiri tena msomi wa hali ya juu. Ritz 1 kwangu cha mtoto.

Mimi namshangaa sana huyu Kaunga anavyokushobokea....

Sijui umempa nini.......
 
Last edited by a moderator:
hakuna kitu kinakera kama mwanamke anayeombaomba pesa............. yaani cha kwanza namuona kama muuza
 
duh, heri yangu mie nshasahau kuomba pesa bali napewa tu. nshapewa kimtaji changu cha nyanya na kila mwisho wa wiki pesa ya matumizi inaingia. vocha hata sijui bei yake. . . huo ndo uanaume bana! iwapo nitaomba pesa ujue ni pesa ya dharura ambapo ni nadra sana na sio pesa ya kitoto bali pesa ya maana km ujenzi na vitu km hivo, sio pesa za kitoto mara salon,usafiri,nguo,viatu n.k! endelea hivyo hivyo
Bora wewe!
 
Pengine dawa ni kuwa na mke mmoja wa ndoa na kuachana na mahawala,maana kama ni wako wa ndoa matunzo ni jukumu lako la moja kwa moja na kila nacho nunua ni chako pia .Milupo itatumaliza
 
Pengine dawa ni kuwa na mke mmoja wa ndoa na kuachana na mahawala,maana kama ni wako wa ndoa matunzo ni jukumu lako la moja kwa moja na kila nacho nunua ni chako pia .Milupo itatumaliza

Definetly
 
St. Ivuga wanichekesha sana eti kutoa pesa imekuwa issue kwako wataka nani ampe mwanamke wako sas????

HUNA ADABU WEWE TUNZA AKULEE ALAH????
 
Mwanaume kupigwa mzinga suna bhana...

Mwanamke lazima akupige mzinga kidogo bhana.

Sasa usipopigwa mzinga na mchumba au mkeo lazima upatwe na wasiwasi kuwa unasAidiwa kuhudumiwa.
 
very very trueeeee! wanataka wakiikamata waisugueeeee waiache pana kama jua! lakini invoice zao wanakata buku kumi! full maubahili! jamani mpite mbaliiiiiiii mabahili, wacha iote mabui bui na nyasi! lol

Ni nini hiyo?
 
Back
Top Bottom