mwanaume sio mtu

Hapo pamesha haribika unatamani umwambie punguza sauti lakini haiwezekani,ndio silaha aliyowajalia Mungu,anaku-punish kwa kutumia mdomo wake,huwa naogopa ikishafikia hapo,na hapo lazima uwe mpole tu kwa wengine kinachofuatia hapo ni kuanza kutoa dozi ya mkog'oto.Eee Mungu niepushe na hilo balaa.

Wakikasirika midomo yao hainaga breki hawa,mwisho atakwambia 'mwone malaya kama baba yako'.
 
Kama na wewe sa6 usiku upo mbali na mkeo.....hapo utu wako uko wapi?....kweli wanaume sio watu...


Huna tv kwako ??
 
Kama na wewe sa6 usiku upo mbali na mkeo.....hapo utu wako uko wapi?....kweli wanaume sio watu...

Futa kauli mkuu ( wanaume sio watu...)
Inamaana mume wako ni kitu gani kama siyo mtu???
Tutake radhi mkuu, ni kwa ajili ya mumeo pia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom