Mwanaume ni yupi hapa??

mi naona afate tu moyo wake mana yy ndio anaenda kuishi naye sio jamii na ndio mana watu wnaaoa wenye heshima then ndio kazi kutoka nje kutafuta sasa kipenda roho mwisho ndio kutuletea thread hapa za ss kukusaidia kuchagua ubaki wapi kwa mke au mmasai
What I have to say is private, Let me tell it to you softly..... So that no one else will hear"
 
Nimependa maoni yako sana, maana muda wa kuangalia jamii siku hizi umeshakwisha aisee, maana at the end of the day mnajifungia wawili, sipati picha kila siku asubuhi maisha yako yote unaamka pembeni ya mtu ambaye humpendi, maana hata utamwona kama jini vile
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa loh! unaweza uone dunia chungu alafu hapo majuto yanakua ni kitukuuu mana mjukuu yatakua yashapita huko tayar ww hukushtuka waja shtuka yako ktk stage ya kitukuuu
 
mhhhhhhhhhh! anga hizi huwa nabakia kuwa mwanafunzi miaka nenda miaka rudi, sijui kwanini?
 
Kweli kabisa mapenzi huwa hayaangalii kabisa,hizi wifey material zinawatokea puani wengi sana, matokeo yake wanaume wanakuwa wanatoka sana nje ya ndoa zao

Hayo ndio matokeo ya kuoa mke ili ufurahishe jamii wakati moyoni huyo mkeo huna mapenzi naye kabisa.

 
Last edited by a moderator:
Mimi mtoto wa mujini; hamna neno nso lijua hata yale ya kwa mfuga mbwa. Sitakwambia nilipoishi (utoto wangu) but nilikuwa kwenye nyumba iliyo isolated (si uswahilini) kiasi kwamba hata mama akituchapa jirani hawezi sikia kelele.

Hahahahahah lol! Nyumba kubwa mutoto wa mujini :):):) linakupendeza sana jina hili :):):)

 
Last edited by a moderator:
Napenda sana misimimamo ya huyu dada kwani inaendana na kushabihiana na maadili yangu kwa asilimia nyingi sana. Mumewe ana bahati sana.

Caveat: Hiyo ni kama anatenda kama anavyosema hapa.

Aaah! NN umejuaje? kuna watu wamebahatika...m'ke kichwa anajua kukaa sehemu yake..
 
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa loh! unaweza uone dunia chungu alafu hapo majuto yanakua ni kitukuuu mana mjukuu yatakua yashapita huko tayar ww hukushtuka waja shtuka yako ktk stage ya kitukuuu
Kuna rafiki yangu aliolewa ilimradi baasi tukikaa wote company na mumewe hata akiongea hapendi, kwa vile alishaniambia hakumpenda mumewe tangu awali basi namuelewa, akiongea utasikia anakwambia "huyu nae si anyamaze" akinywa pombe hata kama kawaida anamwambia anakunywa kwa fujo, mara hivi mara vile yaani hii mimi siippendi kabisa, haya sasa hapa uliolewa kumfurahisha nani?
 
kuna rafiki yangu aliolewa ilimradi baasi tukikaa wote company na mumewe hata akiongea hapendi, kwa vile alishaniambia hakumpenda mumewe tangu awali basi namuelewa, akiongea utasikia anakwambia "huyu nae si anyamaze" akinywa pombe hata kama kawaida anamwambia anakunywa kwa fujo, mara hivi mara vile yaani hii mimi siippendi kabisa, haya sasa hapa uliolewa kumfurahisha nani?

kufurahisha jamii lol..
 
katika maisha mwanaume hutokea ukawa na mtihani wa kufanya maamuzi....

baadhi ya maamuzi yanaweza kukupa heshima au kukuondolea heshima mbela ya jamii...

na tukija kwenye maamuzi kuhusu mapenzi ,ndio kabisaa....wengi wamepata au wamekosa heshima

kwenye macho ya jamii kwa sababu tu ya mapenzi.....

sasa swali hapa ni hili ....upi ni uamuzi wa kiume zaidi......kati ya mambo mawili haya....

1.moja unampenda na umeamua kumuoa mwanamke ambae jamii haimuheshimu sana.labda anaonekana 'malaya'
au anatoka out of your class na kadhalika.....

2.pili...umeamua kumuoa mwanamke mwenye sifa zote ambazo jamii inapenda.....,mzuri,shule ameenda,
ana heshima zote,tabia ni nzuri,kila mtu anakusifia na heshima imeongezeka lakini....'moyo wako haupo kwake kabisaa'

sasa hapo yupi amechukua 'uamuzi wa kiume zaidi'...????


yule anaeoa 'malaya'ambae moyo ndo umempenda.......au anaeoa 'decent one' lakini moyo haupo kabisa

ingawa jamii inafurahia....?????????

The Boss nijuavyo mimi mapenzi ni kitu cha kipekee sana ambacho hotoka rohoni haswaa mwa muhusika, mapenzi si kama kwaya ambapo mkiimba chorus hata kama mmoja atategea basi sauti za wengine zitasikika, nooo, mapenzi ni sual la mtu mmoja mmoja binafsi. anaeamua kiume ni yule anaeufuata moyo wake kwa kile unachokitaka na kukipenda kwa dhati, mke atakuwa wako wewe unaemuoa na si wa jamii, maisha, raha, karaha, mafanikio, matatizo, furaha, amani vyote vitakuwa kati ya wanandoa wawili tu na si jamii inayowazunguka, na hiyo jamii unayoizungumzia mwisho wao katika mapenzi yenu ni pale wanapowafanyia sherehe ya harusi, maisha ndani ya nyumba ni mke na mume, sasa ukioa mke anaependwa na jamii wkt wewe huna hata mapenzi nae hali itakuwaje ndani ya nyumba?? kidume ni wa chaguo la kwanza
 
Back
Top Bottom