Mwanaume kupeleka posa

Nyakwaratony

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
573
140
Hi all

Najua kuna mila na desturi za kibantu ambazo huwaga zinaingiliana. Sasa nauliza hivi suala la mwanaume kupeleka posa huwaga anapeleka baada ya kumtambulisha mwanamke kwao au kabla.

Kuna couples nilishagaziona wanaanzia kwao mwanamke na kuna zingine wanaanziaga kwao mwanaume. Je utaratibu ni upi? Vile vile kuna couple siku mwanaume alipoenda kujitambulisha ndio siku hiyo hiyo akapangiwa mahari na akatoa.

Je ni sahihi?

Happy holidays
 
Tanzania kuna makabila zaidi ya 120(wabantu wakiwa majority)...''hakuna uniformity'' kwa wote...
 
Enyi nyote mliooa tayari, je mlimtambulisha binti kwenu baada ya posa au kabla ya posa?
 
kihere here cha nini kujua hatua ambayo hujaifikia si usubiri ukitaka kuoa sijui kuolewa utajua taratibu zikoje maana kila kabila lina taratibu zake
 
mwenyewe kuna mtu nataka nikamtolee mahari
hui UZI NADHANI UTANIFAA
NB:mila zetu zinaruhusu kuoa
 
unapeleka posa kwa mwanamke wa kabila tunafoutiana kwa makabila kwenye kupeleka posa
 
Back
Top Bottom