Nyakwaratony
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 573
- 140
Hi all
Najua kuna mila na desturi za kibantu ambazo huwaga zinaingiliana. Sasa nauliza hivi suala la mwanaume kupeleka posa huwaga anapeleka baada ya kumtambulisha mwanamke kwao au kabla.
Kuna couples nilishagaziona wanaanzia kwao mwanamke na kuna zingine wanaanziaga kwao mwanaume. Je utaratibu ni upi? Vile vile kuna couple siku mwanaume alipoenda kujitambulisha ndio siku hiyo hiyo akapangiwa mahari na akatoa.
Je ni sahihi?
Happy holidays