Mwanaume kudharaulika na mwanamke ni uzembe

Mkuu baba angu alikuwa kauzu sana kwa mama na ss,nikaapa kuwa nikipata mke ntambembeleza sana,
Nikaoa awali nikawa na misimamo sana na tuliishi poa sana,baadae nkakumbuka ilivokuwa kwa mama nikajiskia hatia nikabadili style na kuingiza full demokrasi kwe ndoa,mkuu yalonikuta hivi sasa nnaishi na watoto wangu tu,
Hizi demokrasia zenu zimeniponza,naamini inatakiwa kuwa na yote mawili kulingana na wakati,japo demokrasia iwe 0.009,
Naamini sn ktk kuishi kwa akili sana na hawa wasaidizi wanaogoma daraka lao la usaidizi
Mkuu mimi humu MMU nasomaga thread zenye kunipa maarifa tu.

Jamaa kaongea fact hakika amekugusa.
 
Mwanaume ni kiongozi ..mtawala na kichwa cha familia!! Ushauri tu, play your part as a woman, maisha yatasonga! Kuanza kuleta haki sawa ndani ndio itafanya utuone sisi wabaya!! Wish you luck!
Baki hivyo hivyo na ubozi wako
 
Sio kwa wanawake wa kileo Faiza kwani tamaa imewajaa na unaweza kumkojoza mara 10 kwa siku bado atakudharau na kuona huna mchango kwake. Hata babu zetu pia waliteswa na bibi zetu ila sisi ni balaa.
Yameshanikuta naongea kwa ushuhuda kwani nilifanyiwa jambo la ajabu na mdada kisa nilimpenda na kila nilipokutana nae aliridhika tena kwa ushahidi dhahiri maana mwanamke hawezi nificha kama amefunga goli au la? Tamaa itawaua
Kumkojoza mara 10 sio insue, kwa kila moja dakika 1 heshima itoke wapi? Wanaume mkitimiza wajibu wenu mtaheshimika, eti mme dakika 2 chali mpaka asubuhi na gubu juu mke anachungwa kama mbuzi kumbe anajua kabisa hawajibiki mke atachepuka mtalalamika sana.
 
Natumaini wazima humu!!

Ipo hivi mwanamke hata akikuzidi elimu, kipato au chochote kile sio sababu ya kukudharau, wanaume tumepewa siraha directly kutoka kwa Mungu tangu siku ile ambapo nucleus ya sperm ilipoungana na nucleus ya ovum through fertilization na kuunda male zygote, silaha tuliyopewa ni KUTAWALA, Biblia inasema wazi paleambapo Mungu anampa adhabu Eva alimwambia hivi''tamaa yako itakuwa kwa mumeo naye ATAKUTAWALA'',

Hata mtume Paulo kt nyaraka zake alisema''MWANAUME AMPENDE MKE WAKE KAMA KRISTO ANAVYOLIPENDA KANISA'' alafu akasema kwa wanawake''MWANAMKE 'MTII' MUMEO KAMA UNAVYOMTII KRISTO'', unaweza ona mwenyewe utofauti wa 'kupenda' na 'kutii', kutii ni kuwa chini ya mamlaka inayokupa amri.

Sasa wanaume wengi siku hizi wanakosa hayo mamlaka ya'KUTAWALA' na sababu kubwa ni kutojiamini tu, wewe ni mwanaume, wewe ni kichwa acha kupelekwa pelekwa, ipo hivi unatakiwa kutoa maamuzia ambayo mke wako anatakiwa either afuate au aondoke sio unabadili badili maamuzi eti kisa mkeo amenuna, itageuka yeye ndo atakutawala wewe.

Ukisema familia yangu inaenda this way ni this way kweli, kama hataki aende zake kuliko kumpa mtoto wa kike akutawale tawale baadae unakuja na thread ndefu kulalamika humu, acha kuwapa wapa nafasi ya maamuzi hawa viumbe vitakusumbua sana.

Na kikubwa nikuwa maamuzi yako yawe yenye weledi, lazima atakuheshimu na ukisema kitu huyoooo ananyoosha kufuata, sio unabishana bishana na mkeo kama we ni mke mwenzake bhana, hata wao wanapenda wanaume wenye mamlaka ndani ya nyumba, usiige ulaya wale wamefundishwa hivyo tangu utoto lakini hawa wa kwetu ukiwapa nafasi kidogo tu ya kukutawala you are finished.

''HAKUNA NDOA YENYE DEMOKRASIA IKADUMU''
hawa viumbe ukiwapa nafasi moja ya kukuendesha watataka na nyingine, na nyingine, na nyingine zaidi mwisho unakuwa we mwanamke alafu yeye mwanaume a.k.a unakuwa mume bwege.... USISEMA HUKUAMBIWA........
Mkuu ni kama unalalamika. Ha ha ha haaa yamekukuta bila shaka. Ndio hivyo Mzee hayo MAMLAKA tulopewa yamekuja na GHARAMA. Kabla ya kutawala ni lazima kwanza uyatawale Mawazo yako na Matendo yako.

Huwezi kutawala ikiwa wewe hujaweza kujitawala. What I know, Kumtawala Mwanamke ni kumpa kile anachopenda. Uwe tajiri ama masikini. Lazima ujitume. Jukumu walopewa ni kubwa.

WANAUME wengi tunaolalamika kuhusu WAMEWEKA zetu, unakuta SISI wenyewe ndio WAZEMBE otherwise TUSINGELALAMIKA.

Yaani kitendo cha kulalamika tuu tayari ni weakness. Very rare utasikia Mwanamke akilalama hadharani kuhusu Mume wake.

TUMEPEWA MAMLAKA. LAKINI HATUJAJUA NAMNA YA KUYATUMIA. UKIJUA HUTOPATA MUDA WA KUJA KULALAMA HAPA.

Ni Mawazo yangu. I stand to be Corrected.
 
Hivi hebu tu jiulize jambo
Kuna faida gani kusumbuana ktk ndoa badala ya kuishi km Mungu alivokusuadia,maana nnajua hata wewe unaemsumbua mwenzi wako na ww unaumia maana kukaa na mtu msiye elewana ama aliyeumizwa lazima itakuwa mzigo kwako sababu hamtashirikiana,lazima na ww uumie tu,sasa faida ipo wapi,na kwa nn kila mtu asikae kwenye nafasi yake,wanawake vueni suruali za akili zenu vaeni sketi na hijab mioyoni mwenu,na ss akina baba tuvae suruali akilini mwetu na tuvue kombati mioyoni mwetu,
Tubebe majukumu yetu na tunao wabebea majukumu watutambue km viongozi maana huwezi ongoza mtu anaekuchukulia km mkia,
Mliopo kwenye ndoa Dada zangu acheni kuapply mbinu ambazo makahaba wanazitumia kukabiliana na mabuzi yao yanayowakopa kwichi kwichi,tumieni nguvu ya ndani alowapa MUUMBA,Punguzeni Gubu dunia ipone,
Msijidanganye na Beijing maana mnaweza pata hizo mnazodhani haki zenu lkn mkakosa amani ya ndani ya nafsi zenu na mkakosa pepo pia,
Sifa za mwanamke zibaki kwake na heshima kwa mwanaume ibaki kwake,
Mwanaume akiwa na pungufu ndo kazi uloumbiwa kuhakikisha unamsaidia kulimaliza,inakera sana mnatujaza stress na vitabia vyenu na gubu,matokeo stress inazaa ulegevu ktk kuwapa tamu yenu,inaua nguvu ya kitanda halafu mnaanza kulalamika kutoridhishwa,na mnashindwa kutulia zaidi ya kuanza kuwatangaza nabkuwasimanga wanaume hawawaridhishi Mara ooo hauna nguvu za kiume Mara oooo haunifikishi wakati chanzo cha tatizo yamkini ni nyie,kapungukiwa hizo unazoziita ww ni nguvu utadhani mnaenda kulima basi msaidie kulimaliza tatizo ili ufaidi hizo nguvu,
Afu acheni kuiga fikra na mitazamo ya makahaba,hili tendo halihitaji nguvu linahitaji stamina na amani ya ndani,wala haihitaji likiiiiiitu kuuuuuubwa km punda inahitajika amani ya ndani itayochochea stamina ambayo nayo itapelekea huko mnakoita kukojozwa,
Vita mloanzishiwa na shetani na ninyi mkaidandia ya kupambana kuwatawala wanaume kamwe hamtaishinda,
Mlio kwenye mahusiano msifuatishe tabia na maneno mnayojazana mkutanikapo kwenye Sacco's zenu mkazileta kwenye mahusiano kwani hao wanaojitutumua kuwakamata wanaume zao wakifika makwao ni wapole balaa,sasa ww zibuka uwaige halafu peleka hyo tabia ya kuhadithiwa kwako uone kinachokukuta,
Kumbukeni kazi ya mkia inajulikana,na mnyama adharauye mkia huukumbuka anapopata usumbufu wa nzi,
Aibu ya mwanamke ni kubwa sana kuliko ya mwanaume hata mkijitutumua Vp,
Tulieni dunia ipone
Tulieni tujenge familia
Maana mnalipuka na kujiresi km generator za kichina
 
Mkuu sijawahi umizwa na haitakuja tokea, but umeongea nondo za maana
 
Natumaini wazima humu!!

Ipo hivi mwanamke hata akikuzidi elimu, kipato au chochote kile sio sababu ya kukudharau, wanaume tumepewa siraha directly kutoka kwa Mungu tangu siku ile ambapo nucleus ya sperm ilipoungana na nucleus ya ovum through fertilization na kuunda male zygote, silaha tuliyopewa ni KUTAWALA, Biblia inasema wazi paleambapo Mungu anampa adhabu Eva alimwambia hivi''tamaa yako itakuwa kwa mumeo naye ATAKUTAWALA'',

Hata mtume Paulo kt nyaraka zake alisema''MWANAUME AMPENDE MKE WAKE KAMA KRISTO ANAVYOLIPENDA KANISA'' alafu akasema kwa wanawake''MWANAMKE 'MTII' MUMEO KAMA UNAVYOMTII KRISTO'', unaweza ona mwenyewe utofauti wa 'kupenda' na 'kutii', kutii ni kuwa chini ya mamlaka inayokupa amri.

Sasa wanaume wengi siku hizi wanakosa hayo mamlaka ya'KUTAWALA' na sababu kubwa ni kutojiamini tu, wewe ni mwanaume, wewe ni kichwa acha kupelekwa pelekwa, ipo hivi unatakiwa kutoa maamuzia ambayo mke wako anatakiwa either afuate au aondoke sio unabadili badili maamuzi eti kisa mkeo amenuna, itageuka yeye ndo atakutawala wewe.

Ukisema familia yangu inaenda this way ni this way kweli, kama hataki aende zake kuliko kumpa mtoto wa kike akutawale tawale baadae unakuja na thread ndefu kulalamika humu, acha kuwapa wapa nafasi ya maamuzi hawa viumbe vitakusumbua sana.

Na kikubwa nikuwa maamuzi yako yawe yenye weledi, lazima atakuheshimu na ukisema kitu huyoooo ananyoosha kufuata, sio unabishana bishana na mkeo kama we ni mke mwenzake bhana, hata wao wanapenda wanaume wenye mamlaka ndani ya nyumba, usiige ulaya wale wamefundishwa hivyo tangu utoto lakini hawa wa kwetu ukiwapa nafasi kidogo tu ya kukutawala you are finished.

''HAKUNA NDOA YENYE DEMOKRASIA IKADUMU''
hawa viumbe ukiwapa nafasi moja ya kukuendesha watataka na nyingine, na nyingine, na nyingine zaidi mwisho unakuwa we mwanamke alafu yeye mwanaume a.k.a unakuwa mume bwege.... USISEMA HUKUAMBIWA........
Mktaka mcdharaulike muache uvvu wa kutafuta pesa mana ckuiz mnapenda kufugwa badala ya kufuga
 
Mbn umesahau kusema mume ni kiongozi au kichwa cha familia?kurukaruka akujawahi kuwa dawa ya ulimbo
 
Umejifunza nn kupitia maumivu yake,halafu umejifunza nn kwa mwanamke mwenzako huyo mtukanaji,
Halafu type uzoefu jamaa anakukojoza kisawasawa?maana kuna wadada humu wanasema ukikojozwa vibaya haukai
Nilichojifunza mwaume alionyesha uzaifu tangu mwanzo yaani alionyesha kumpenda na hawezi kumuacha alafu mwanaume kiasi nimpole....hua anatukanwa mbele hata ya rafiki zake,, anatukanwa mbele ya mama yake na mama yake anatukanwa vilevile jamaa ana angalia tu. Bt jamaa kitandani yuko vizuri sana
 
Hivi hebu tu jiulize jambo
Kuna faida gani kusumbuana ktk ndoa badala ya kuishi km Mungu alivokusuadia,maana nnajua hata wewe unaemsumbua mwenzi wako na ww unaumia maana kukaa na mtu msiye elewana ama aliyeumizwa lazima itakuwa mzigo kwako sababu hamtashirikiana,lazima na ww uumie tu,sasa faida ipo wapi,na kwa nn kila mtu asikae kwenye nafasi yake,wanawake vueni suruali za akili zenu vaeni sketi na hijab mioyoni mwenu,na ss akina baba tuvae suruali akilini mwetu na tuvue kombati mioyoni mwetu,
Tubebe majukumu yetu na tunao wabebea majukumu watutambue km viongozi maana huwezi ongoza mtu anaekuchukulia km mkia,
Mliopo kwenye ndoa Dada zangu acheni kuapply mbinu ambazo makahaba wanazitumia kukabiliana na mabuzi yao yanayowakopa kwichi kwichi,tumieni nguvu ya ndani alowapa MUUMBA,Punguzeni Gubu dunia ipone,
Msijidanganye na Beijing maana mnaweza pata hizo mnazodhani haki zenu lkn mkakosa amani ya ndani ya nafsi zenu na mkakosa pepo pia,
Sifa za mwanamke zibaki kwake na heshima kwa mwanaume ibaki kwake,
Mwanaume akiwa na pungufu ndo kazi uloumbiwa kuhakikisha unamsaidia kulimaliza,inakera sana mnatujaza stress na vitabia vyenu na gubu,matokeo stress inazaa ulegevu ktk kuwapa tamu yenu,inaua nguvu ya kitanda halafu mnaanza kulalamika kutoridhishwa,na mnashindwa kutulia zaidi ya kuanza kuwatangaza nabkuwasimanga wanaume hawawaridhishi Mara ooo hauna nguvu za kiume Mara oooo haunifikishi wakati chanzo cha tatizo yamkini ni nyie,kapungukiwa hizo unazoziita ww ni nguvu utadhani mnaenda kulima basi msaidie kulimaliza tatizo ili ufaidi hizo nguvu,
Afu acheni kuiga fikra na mitazamo ya makahaba,hili tendo halihitaji nguvu linahitaji stamina na amani ya ndani,wala haihitaji likiiiiiitu kuuuuuubwa km punda inahitajika amani ya ndani itayochochea stamina ambayo nayo itapelekea huko mnakoita kukojozwa,
Vita mloanzishiwa na shetani na ninyi mkaidandia ya kupambana kuwatawala wanaume kamwe hamtaishinda,
Mlio kwenye mahusiano msifuatishe tabia na maneno mnayojazana mkutanikapo kwenye Sacco's zenu mkazileta kwenye mahusiano kwani hao wanaojitutumua kuwakamata wanaume zao wakifika makwao ni wapole balaa,sasa ww zibuka uwaige halafu peleka hyo tabia ya kuhadithiwa kwako uone kinachokukuta,
Kumbukeni kazi ya mkia inajulikana,na mnyama adharauye mkia huukumbuka anapopata usumbufu wa nzi,
Aibu ya mwanamke ni kubwa sana kuliko ya mwanaume hata mkijitutumua Vp,
Tulieni dunia ipone
Tulieni tujenge familia
Maana mnalipuka na kujiresi km generator za kichina
Umenena vema ndugu ila jitahid kuweka vituo katika sentence ili kurahisisha usomaji.

Nakubaliana na mtazamo wako. Asante
 
Back
Top Bottom