Mwanaume andaa future nzuri kwa wanao, ila usitegemee lolote kwa wanao

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Mwanaume tafuta pesa kwa bidii, wape watoto elimu bora, wape mahitaji yao muhimu, jenga nyumba nzuri waishi vizuri, lakini ukizeeka usitegemee lolote kutoka kwa wanao.

Enjoy maisha ya uzee kwa pesa zako mwenyewe ulizochuma ujanani.
 
Kwenye malezi ya mtoto kuna zaidi ya hayo mkuu , ndio maana unaona siku hizi toto linampiga kisu baba yake ili libaki na mali.
 
Mwanaume tafuta pesa kwa bidii, wape watoto elimu bora, wape mahitaji yao muhimu, jenga nyumba nzuri waishi vizuri, lakini ukizeeka usitegemee lolote kutoka kwa wanao.

Enjoy maisha ya uzee kwa pesa zako mwenyewe ulizochuma ujanani.
Wanaume tumeumbiwa mateso ukizaliwa mwanaume ni hakuna mbambamba ni mwendo wa kutoka jasho tu
 
Mwanaume tafuta pesa kwa bidii, wape watoto elimu bora, wape mahitaji yao muhimu, jenga nyumba nzuri waishi vizuri, lakini ukizeeka usitegemee lolote kutoka kwa wanao.

Enjoy maisha ya uzee kwa pesa zako mwenyewe ulizochuma ujanani.
Akili za kitoto! We are all investors. Tunapanda ili baadaye tuvune. Kama huwezi kuvuna, yanini kupoteza fedha? Hizo pesa ambazo ulitakiwa kuenjoy uzeeni ndizo unatumia kuinvest kwa mtoto. Acheni akili za kijinga
 
Na huo ndio ukweli sasa ninyi endeleeni kukataa ndoa na kujaza single mothers mitaani mkifikiri mnawakomoa wanawake, fainali uzeeni mwisho wa siku mama atabaki na watoto wake watamlea wakati baba atabaki na malaya wake aliokuwa anawanunua, mnaacha kutulia na familia zenu na kuwapa muda wake zenu na watoto wenu mnajikuta miamba kuzini na malaya na kulewa na washkaji kila siku
 
Mwanaume tafuta pesa kwa bidii, wape watoto elimu bora, wape mahitaji yao muhimu, jenga nyumba nzuri waishi vizuri, lakini ukizeeka usitegemee lolote kutoka kwa wanao.

Enjoy maisha ya uzee kwa pesa zako mwenyewe ulizochuma ujanani.
acha wakomae kwenye mazingira yao nami niinjoy na yangu 🐒
 
Endelea kutegemea watoto wakulee uzeeni.

Wenye akili kubwa wameelewa nachomaanisha.
Wenye akili za kitoto hawatanielewa. Hata literature zinaonesha sababu ya kuzaa watoto wengi ni social security ujue. Ref ...... It is suggested, instead, that the primary cause of sub-Saharan Africa's high fertility can be found in its social and family patterns. Central cultural precepts include the notions that many descendents must be produced to ensure the survival of lineage....
Inapatikana
High fertility in sub-Saharan Africa - PubMed
 
Mwanaume tafuta pesa kwa bidii, wape watoto elimu bora, wape mahitaji yao muhimu, jenga nyumba nzuri waishi vizuri, lakini ukizeeka usitegemee lolote kutoka kwa wanao.

Enjoy maisha ya uzee kwa pesa zako mwenyewe ulizochuma ujanani.
Ushauri mzuri ila ukimlea mtoto wako vyema utakula matunda uzeeni japo hutawategemea ila utafurahia kile ulichopanda kwao
 
Tumieni akili. Hivi pesa ya kumtunza mtoto na kukawa na albaki ipo wapi? Inabidi katika maisha uchague kimoja kati ya kuweka pesa ili ikufae uzeeni au uinvest kwa watoto ili wao wakufae uzeeni. Uchaguzi ni wako
Unaweza kuwa sahihi Mkuu kwa upande mwingine lakini mwisho wa siku kwangu hii huwa ni kama kamari yaani inawezekana watoto wakufae na hata wasikufae pia.

Hivyo yakubidi ujiandae kisaikolojia ili usije dondoka na kuwaachia radhi hasa pale ikitokea wakawa busy kuzisaidia familia zao halafu we ukawa kijisehemu ambacho kwake si namba moja huku hata hizo gharama zote ulizozitumia kwake asizifikirie wala kuzikumbuka kamwe.
 
Mwanaume tafuta pesa kwa bidii, wape watoto elimu bora, wape mahitaji yao muhimu, jenga nyumba nzuri waishi vizuri, lakini ukizeeka usitegemee lolote kutoka kwa wanao.

Enjoy maisha ya uzee kwa pesa zako mwenyewe ulizochuma ujanani.
Malezi ndio huwa muamuzi mzuri wa hatima ya wewe na wanao pindi umri wako utakapoenda.

Nyumba nzuri, pesa, shule nzuri na show off zote bila malezi elekezi ni sawa na kupaka upepo rangi.

Wako ambao wanatunzwa vizuri sana na watoto wao.
 
Back
Top Bottom