mwanaume akiwa ametoka kudo na nje ya mahisuano utamjuaje?

Sasa hata ukijua SI KESHAFAIDI HUKO!!!!!! Isitoshe evidence haijitoshelezi ku kumcomvic the accused! Dawa yake moja tu ! Ni kutumia KATIBA ya mabibi! Akienda outside kitu chasinyaaaaa kama cha mtoto! Akirudi rijali kweli kweli!

PREVENTION IS BETTER THAN CURE!!!!!!!!!!

Nchi hii ina watu wapenda ushirikina kwenye mapenzi sijapata ona...na hakuna anayefanikiwaga....nionyeshe mmoja nikuonyeshe mia moja walioshindwa hohe hahe.
 
mwanaume akitoka kwa mwanamke wa nje bana utamjua tu,
kwanza anakuja na sababu kibao, utasikia leo nimechoka sana, kazi ni nyingi kiasi kwamba mwili hauna nguvu kabisa,
kwa bongo utasikia hizi foleni hizi loh, mgongo wote hauna nguvu.

utakuta wakati wa kulala huyo kalala zake na bukta.

mwingine anakuja mkali kama mbogo, yaani hapo nyumbani maelewano yanakuwa hakuna ili mradi tu aondoe amani yako kiasi kwamba hata usiku usimguse.

mwingine utasikia hivi wewe mwanamke hauchoki kila siku una nyege kama nini vile kila siku kwani ni lazima tufanye.

mwingine atavizia ukiwa anga za juu yeye ndo anajivinjari kama hana akili nzuri.

mwingine atakupangia siku za kufanya ujue siku ambayo hafanyi home ndo anaingia mtaani.
ww
unamzungumzia wa kiume. sio mwanaume, mwanaume wa kweli akitoka nje ndio hamu ya kugonga ndani inazidi, mfano wachezaji kabla ya mechi huwa wanapasha kwanza hivyo nje mwanaume anapasha kwa ajili ya mechi ya home na wale wa kiume ndio wamemaliza shughuli hapo hapo.
 
mh!.....

kwani akitoka kuo ndani ya mahusiano unamjuaje? Infact hili neno mahusiano umelitumiaje hasa hapa?
mtu akiwa na nyumba ndogo hayo ndio mahusiano baina yake na mwanamke wa nyumba ndogo, akitoka
kwa changu doa hayo ndio mahusiano yake mteja na mfanya biashara, yote ni mahusiano!!!!!!!
 
Ila Mimi Nipo Tofauti kidogo, Gwaride nalipiga Nyumba Ndogo na Nikifka Nyumba Naendeleza Kama Kawa, Na Nikiona Cjatosheka Naenda Bafuni Napiga Zangu Kadhaa A.K.A Nyeto Ndio Narudi Kulala, DUME JEURI ndio Mimi , Chezea Wa Kishua Wewe, A.K.A Viuno Feni..Chambua Kama Karanga ..hahahahahaaaaaa
 
Kuna haja ya kumuomba nkwere aanzishe jeshi la nchi kavu kuchunguza cheatings. Huduma inahitajika. Watu tupelekwe abroad walau.miaka miwili kujifunza hii makitu!
 
hapa mahusiano namaanisha ndoa, au serious relationship ya bf na gf
kwani akitoka kuo ndani ya mahusiano unamjuaje? Infact hili neno mahusiano umelitumiaje hasa hapa?
mtu akiwa na nyumba ndogo hayo ndio mahusiano baina yake na mwanamke wa nyumba ndogo, akitoka
kwa changu doa hayo ndio mahusiano yake mteja na mfanya biashara, yote ni mahusiano!!!!!!!
 
... Mbona ni rahisi sana kumjua...
... Ukishika nanino yake ina kuwa "weak, white wash yake inakuwa nyepesi sana, mlingoti hawezi kusimama haraka, n.k"

Aahhh wewe utamdanganya mwezake, mwanaume anaweza kutoka ku do na bado akifika home kitu imekaza mbaya na game bila mchezo.
 
Hiyo ndio hasara ya mapenzi feki tunayopeana chini ya mbingu. Ukaribu wa nafsi zenu ndio mwanga wa kujua kila analofanya mwenzio kwa kuwa mnakuwa mwili mmoja: sasa kwa kuwa mahusiano yenu ni ya kibinafsi kila mtu anatafuta mambo yake mwenyewe kwa furaha na faida yake mwenyewe haitowezekana kabisa kumgundua na hiyo ni dalili tosha kwamba nafsi yako iko mbali naye kutokana na siri zilizofichama moyoni mwako za kukufurahisha na kukunufaisha wewe kama wewe. Hata wewe ukifanya na mwingine naye pia hatagundua kitu. Masuala ya dushelele hayahusiki hapa kwani wanaume wengi wana mapafu ya mbwa na wanagonga hata wanawake watano hadi wazimie na bado moto uko juu.
 
:becky::becky::becky: Kama hajaliwa na mchuzi haujatoka si utakuwa umempa adhabu ya bure :becky::becky::becky:

Zoezi hili lina faida na hasara, moja wapo ya faida nikumfanyisha mazoezi kwa kuruka kichura chura:becky::becky:
 
Aahhh wewe utamdanganya mwezake, mwanaume anaweza kutoka ku do na bado akifika home kitu imekaza mbaya na game bila mchezo.

kwa sisi tunao walidhisha mademu mpaka 3 ukazaaji unaongeza ukimaliza wa kwanza unapo enda kwa wapili unadable dozi na kwa watatu una thrice dozi full ugwadu :becky::becky:
 
Ni vigumu sana kujua kama huna ushahidi.

kuna vitu kama harufu ya perfume, alama za lipstick kwenye shati,
hickies, etc hata na hivyo hivyo vitu ni havikupi uhakika kabisa kama
ametoka kufanya mampenzi au la..

Kama unawasi wasi sana anza kumtrack kwa kutumia GPS.
iliujue yuko wapi kila saa.
au unaweza ku tag simu yake ukasikiliza "maongezi yake yote " na kusoma
txt zake zote bila ya yeye kujua na bila hata wewe kugusa simu yake.

Hiyo ni kama humwamini mpenzio na unataka kupata jibu la uhakika kabisa bila ku guess kitu.

Duuuuh nyie wanawake ni wa mafia kweli, GPS na kuhack simu, mtakuja kufa na pressure hivi hivi
 
Ni vigumu sana kujua kama huna ushahidi.

kuna vitu kama harufu ya perfume, alama za lipstick kwenye shati,
hickies, etc hata na hivyo hivyo vitu ni havikupi uhakika kabisa kama
ametoka kufanya mampenzi au la..

Kama unawasi wasi sana anza kumtrack kwa kutumia GPS.
iliujue yuko wapi kila saa.
au unaweza ku tag simu yake ukasikiliza "maongezi yake yote " na kusoma
txt zake zote bila ya yeye kujua na bila hata wewe kugusa simu yake.

Hiyo ni kama humwamini mpenzio na unataka kupata jibu la uhakika kabisa bila ku guess kitu.

... Mkuu hii inakuwakuwaje' bila ya kugusa simu yake! Naukaweza kusikia maongezi yao, na pia ukaweza kusowa txt zake?
 
mbona rahisi kumjua mwanaume aliyetoka kuchinja kobe mnuse makende maana nasikia haya makende yetu ngozi yake ikishika harufu ya mbunye hata uoge vipi haitoki
 
kwanza ataonyesha kuchoka sana anakua na wasiwasi mwingi yaani anakua tofauti na siku nyingine
 
Back
Top Bottom