Mwanasheria wa Halmashauri ya Korogwe ana 'Digrii ya chupi' - DC Mrisho Gambo

Status
Not open for further replies.
Msiahangaike DC katumwa na boss wake kusema hicho alichosema si ni wale wale? Wote ni majanga ya kitaifa,
 
Huyu DC anatakiwa alazwe nje usiku kucha tena uchi wa mnyama kwenye uwanja unaopitwa na watu wengi, huyu angekuwa kwetu angeipata.
 
Huyu DC anafikiri ni enzi za Nyerere walipokuwa wanaonekana kama miungu ngoja huko mhakamani akakutane na akina Ananilea Nkya, Kijo Bisimba na Usu Mallya ndo atajuuuta kufanya kazi za wastaafu wa jeshi.
 
Huyu DC si ndiye alikuwa mwalimu wa Kiswahili pale Ilboru hadi Mwezi April mwaka huu? Anadhani yupo class nini?

Hata kama mtu yupo darasani maneno ya kihuni hivi inatisha. Hii ni aibu sana kwa mteule wa mkuu wa nchi kuwakilishwa na watu wa aina hii. Tuifanyeje CCM? Hivi Kikwete bado hajamshughulikia? Wakina mama wa magamba mnasemaje mwanamke kudhalalishwa namna hii ndani ya serikali yenu ya CCM. Nape mshauri mkuu wa mwenyekiti anashauri nini kifanyike?
 

hata hivyo, kwa sheria za serikali za mitaa, DC si msemaji wa halmashauri, na pia si mwajiri wa wafanyakazi wa halmashauri, hivyo kwenda kutoa maneno ya kudhalilisha , ni kinyume cha sheria

huu ni udhalilishaji wa kijinsia..wanasheria chukua hatua mapema...huyu ni mkuu wa wilaya ni mtu hatari sana...tusipochukua hatua dhidi ya tabia za ibaguzi kama hizi tutajenga taifa lenye viongozi wapuuzi, wasioheshimu watu, vongoz wanaofikiri wako juu ya sheria, viongozi wanaodhani wanaweza wakatukana nakudhalilisha raia bila kuwajibika...kwa hili tusikubali...mm naiona jinai ya wazi ktk matamsi haya ya huyu mtu anayeitwa eti mkuu wa wilaya...tunamtaka Mkuu huyu wa wilaya amuombe radhi huyo mwanasheria wa halmashauri...asipofanya hivyo ashitakiwe kwa kwa mujibu wa sheria......Hii ndiyo harama ya kuwa na wakuu wa wilaya wa VODA FASTA
 
alaaniwe gambo na iwe aibu kwa mama yake kwa kumlea bila ya adabu

Yaani ndugu yangu we acha tu!!! hili li-serikali la ccm magamba/mafisadi/majambazi/wauaji limeoza kotekote. haulikumbuki lile li livingstone lusinde lilivyoshusha sera za ccm matusi kule A. Mashariki huku likijitapa tena mbele za watoto kuwa hizo ndo sera zao??? yaani hili li chama na li-serikali lake yote CPMPLETELY ROTTEN, hakuna maadili kabisa, ndo maana yanachukua hata wake za watu hadharani (mwigulu) halafu hata hayakemeani. mi nawaambieni hili li chama na li-serikali lake yote yameoza. tuliondoeni madarakani. UMEBAKI MUDA KIDOGO TU MATUSI UTAKUWA UTAMADUNI WA MTANZANIA. hili li chama la ccm na li-serikali lake yote yanaweza yakakufanya hata Mwenyezi Mungu Muumba ukamkufuru bure, YANAENDEKEZA MATUSI, WIZI, UUAJI, UJAMBAZI, UDHULUMAJI,UZINZI, UONGO, KIBURI, KUBEBANA, yaani hili li chama la ccm na li-serikali lake ni matatizo tupu.


Tuendeleeni kuwaelimisha watanzania, waelimike waliondoe madarakani hili li-serikali la ccm magamba/mafisadi/majambazi/wauaji.
 
La haula wala kuwwata. Namjua huyu bint ni Binti wa rafiki yangu Tekha ambaye ni muhaya anayefanya biashara na maisha yake kule Mbeya.

Bint make sure unafikisha suala hilo Mahakamani kwani huo ni udhalilishaji wa ha;li ya juu sana.
 
Nafasi ya Ukuu wa Wilaya ni kufutiliwa mbali..........

We ngoja CDM waingie magogoni. hawa pinda si alisema wapo kwa ajiri ya kuhakikisha ccm magamba wanaendelea kutawala?? labda tupaze sauti zetu sana kwenye katiba mpya, lakini sidhani kama magamba wanaweza kuruhusu hawa ma-dc wapigwe chini, ni watu wao hao.
 
Mkuu wa wilaya korogwe ndugu Mrisho Gambo amemwambia mwanasheria wa wilaya hii kuwa ana degree ya
chupi kufuatia majibu ya mwanasheria huyo dhidi ya kesi kati ya wafanyabiashara na halmashaur.
Mwanasheria huyo alishindwa kutoa maelezo ya kina juu ya sakata hilo ndipo dc akaamua amchane ......, source: mwananchi

Mbona Gambo kasoma na kafanya kazi halmashauri na anajua matatizo ya hizi LGA,s kutokana na mifumo yake ilivyo mibovu na hata wakati mwingine si rahisi kwa msingi wa mfumo uliopo kushinda kesi?
 
Pamoja na kwamba siungi mkono kauli ya DC, laki i hapa ndipo tulipofika, yamkini lawyer alitoa majibu ya kushangaza sana na mkienda mbali kwa Lawyer kumbukeni na utetezi wa TL bungeni hivi karibuni kwamba hata majaji wenyewe uteuzi wao ni utata mtupu...hapa sijui nako tutegemee hukumu za aina gani..................(sio za chupi)
 
Ya chuo gani mkuu, labda naye kaipata kwa kushikishwa ukuta. Kwa vyovyote huyu aliyedhalilishwa atashinda kesi ingawa kiasi cha madhara si lazima kiwe hiyo 90m. Kiasi chochote mahakama itakachoamuru kulipwa, huyu kichaa Gambo akilipe toka mfukoni kwake kwani serikali haikumtuma kwenda kudhalilisha wananchi.

Ya chuo cha Uhasibu Arusha(IAA). Huyu dogo mlipukaji amelewa madaraka
 
ujana mama....ujaaana. ujana maji ya moto ujaaaaanaaa!
RIP Dr Remmy, uliona mbali sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom