Mwanasheria mkuu mwogope Mungu VOX POPULI VOX DEI.

mbolimboli

Member
Dec 17, 2010
11
0
Wewe ni judge halafu unatamka maneno hayo kesi gani utaifanyia haki? Marekabisho kwa kuandika katiba ni lazima huwezi kushindana na PEOPLES POWER. Wewe unatulinganisha wenzio na BATA tuonee huruma mambo mazuri huanzishwa na wachache kwani akili ni nywele kila mtu ana zake au wewe huna nywele au vyote kwa pamoja?
 
mpumbavu mwingine kwenye kundi la kina lowasa ukuwa unajua hili???Hizo helawameshajipanga KIKWETE ANA MGAO WAKE NDIO MAANA ATAKI KUSIKIA KITU
 
Tunachosahau watanzania ni kwamba duniani kote mapinduzi hayajawahi kuletwa na utawala ulio madarakani isipokuwa wananchi ....tena wale wa tabaka la chini ... tukumbuke Mao ... Fidel castro... che guevarra (my namesake!)... Abraham Lincoln....n.k. sasa kwanini tunataka Werema atupe katiba mpya.. nani kakwambia....ONLY NGUVU YA UMMA ITAMLAZIMISHA SIO HIARI YAKE... Let it be clear,, mi namdharau kwani hana la kufanya anymore!!
 
Siku zinahesabika na wakati ni ukuta, katiba mpya lazima na kipengere cha rais kushitakiwa akitenda ndivyo sivyo mara baada ya mkuondoka ikulu na ndipo adabu itawafika .
 
...if you wait them to leave the seats-they will never!

if we wait them to bring new constitution-they will never

tanzania is for tanzanians....40 million+ tanzanian and not 40+!!!

SAVE YOUR BULLET!!!
 
Back
Top Bottom