Mwanasayansi nguli Stephen Hawking adai baada ya miaka 1,000 Dunia itateketea

Yeye anasema mbali kihivyo!!! Nadhani miaka 4 ijayo Tz tutakuwa tushaenda kuishi na mashetani wenzetu tiyari. Kwa mwendo kasi huu!! Asubuhi kukicha mtu anatamani kufunga madirisha asiue ka kumekucha, kelele za watoto wa irani waliolala njaa zinakuamsha. Siingojei miaka hiyo
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Huyu jamaa ni muumini wa life beyond planet earth! Siku zote ndo nyimbo zake. Dunia bado ina awezo ku-hold life kwa miaka billion 2.5 zaidi. Aache mikwara
 
Kama ameweza ku-predict hayo ya miaka ijayo basi atuambie na yale ya miaka iliyopita je baadhi yetu kama sio wote ni wageni hapa duniani?
 
Wazungu wameenda mbali kwa kuyaelezea maneno yake kwa njia ya vitendo zaidi ambapo mwaka 2014 walitoa muvie maalum ya bwana Stephen iitwayo "the theory of every thing"

Nafkiri wanajamvi mkaicheki hiyo muvie muongeze chakula ubongoni
 
05c1d0323c124d66c9492c6df8511091.jpg
 
Huyu ndo anejitolea kufanya jaribio lile la kuhamisha kichwa kwenda kwenye mwili mwingine
 
Huyu jamaa ni muumini wa life beyond planet earth! Siku zote ndo nyimbo zake. Dunia bado ina awezo ku-hold life kwa miaka billion 2.5 zaidi. Aache mikwara
-Hata enzi za Nuhu kuna watu walikuwa na mawazo kama ya kwake.
 
Back
Top Bottom