Mwanasayansi nguli Stephen Hawking adai baada ya miaka 1,000 Dunia itateketea

Dunia tunayoishi haitokuwa kama ilivyo sasa
baada ya miaka 1,000.

Mwanasayansi nguli na mnajimu, Stephen Hawking, amesema binadamu hawatoweza tena kuishi katika ardhi ya dunia kwa miaka 1,000 nyingine, na chanzo kitakuwa yale yale,
mabadiliko ya tabia nchi, mabomu na roboti.

Stephen Hawking Akiongea kwenye chuo kikuu cha Oxford wiki
kadhaa zilizopita, Hawking alisema njia pekee
itakayotupa maisha zaidi, ni kuhama kwenye dunia
hii na kwenda kutengeneza makoloni kwenye
sayari zingine.

“Although the chance of a disaster to planet Earth
in a given year may be quite low, it adds up over
time, and becomes a near certainty in the next
1,000 or 10,000 years,” alisema.

“By that time we should have spread out into
space, and to other stars, so a disaster on Earth
would not mean the end of the human race.” Pamoja na hivyo, Hawking alikuwa na maneno ya faraja:

Remember to look up at the stars and not
down at your feet. Try to make sense of what you
see, wonder about what makes the universe exist,”
he said.

“Be curious. However difficult life may
seem, there is always something you can do and succeed at. It matters that you don’t just give up.”
 
Kamba kama kawaida...Wana tabiri mwisho wao kama waliitengeneza wao.
 
Hiyo hata kuijua ni kazi bure irrelevant sababu hamna mtu atakayekuwepo wakati huo watu wote waliopo sasa na watakaokuwepo miaka 850 ijayo watakua wameshakufa wote.
 
Wacha waende zao mimi nataka nifie hapa hapa kwenye udongo wa babu zangu
 
napenda kuja kuona binadamu tukianzisha makazi sayari nyengine!
tatizo lipo kwenye ku-change mazingira ya hizo sayari doh!! More thinking and effort need there
unadhani Africans tutapata fursa ya kwenda huko?
 
Huyu nae kashazeeka so asituchanganyie habari maisha yenyewe magumu, kwanza nawasi wasi na akili yake kwa jinsi alivo mmmh!
 
unadhani Africans tutapata fursa ya kwenda huko?
we unawaza hili..! mbona kitu kidogo sana! tayari kushakuwa na mchanganyiko wa kizazi kati ya waafrika na wazungu hii tayari ni tiketi..! chengine ni pesa tunaishi ktk dunia ya pesa sasa wapo waafrika watakaokuja kutaka kufika huko na watafika kwa nguvu ya pesa!
halafu haya maswala ya ubaguzi wa rangi ni wapumbavu tu ndo wamebakinayo kichwani mwao but mdogo mdogo this problem is going down.. pia kuna haja ya sisi waafrika kujitutumua ktk maswala ya kisayansi hii itaongeza wigo wetu ktk kuheshimiwa n.k
 
Hii mbona umeongeleww zamani sana. Hawking anampaka movie yake akiongelea hiki kitu
 
Back
Top Bottom