Ndani ya Miaka 2 (2022 na 2023) zaidi ya Walimu 1,000 Uganda walifariki kwa mazingira duni ya kazi. Kibongo bongo ikoje?

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,616
Chama cha Kitaifa cha Walimu Uganda kimesema kumekuwa na idadi kubwa ya vifo miongoni mwa Walimu, hasa vinavyosababishwa na afya mbaya kutokana na Mazingira duni ya kazi

Kulingana na Chama hicho zaidi ya Walimu 1,000 Nchini humo wamefariki katika kipindi cha Miaka Miwili iliyopita, huku wakitoa tahadhari ya nchi hiyo kuwa katika hatari ya kukabiliwa na uhaba wa Walimu ifikapo 2025 wakati hali duni ikisukuma Wasomi wengi zaidi kutoka katika taaluma hiyo

Katibu Mkuu wa Chama hicho Baguma Filbert Bates, amesema, "Vifo hivi ni Matokeo ya hali duni ya kazi na maisha. Kuna sababu za msongo wa mawazo kuhusiana na shinikizo la kazi, kwa sababu tunazidiwa,"

Ameongeza kuwa wamekuwa wanakabiliwa na mzigo wa kazi unaosababishwa na uhaba wa Walimu, pamoja na malipo kidogo ya takriban Shilingi 490,000 za Uganda, (takriban Tsh. 323,800) kwa Mwezi, yasiyotosheleza mahitaji yao

...........

Poor conditions fuel deaths among Uganda's teachers - union

The Uganda National Teachers Union has said there has been a high number of deaths among teachers, mainly caused by ill health due to poor working conditions.

According to the union, more than 1,000 teachers in the country have died in the last two years. It said Uganda is at risk of facing a shortage of teachers by 2025 as poor conditions push more and more teachers out of the profession.

"These deaths are as a result of the working and living conditions. There are stress factors in relation to the pressure of work, because it is overwhelming," Baguma Filbert Bates, the General Secretary of Uganda's National Teachers Union told BBC's Newsday programme.

He added that Ugandan teachers are constantly stressed by an overwhelming workload caused by understaffing, as well as a paycheck of about 490,000 Ugandan shillings ($125; £100) per month. Mr Bates said this amount is inadequate in sustaining teachers and their families in the current economic environment.

He said the union has repeatedly urged the government to improve teachers' welfare, which would in turn boost the quality of education received by students.

"Whenever there is need for political priorities, money is found. Therefore, we cannot say the Ugandan child should be sacrificed because of the economy," Mr Bates said.

Source: BBC
 
Mleta umegusia suala zuli , inabidi ijitokeze taasisi moja ivute hela ya kufanya hii tafiti kujua walimu hali zao
 
Duuu huu uwalimu kumbe ni Kaa la moto katika nchi za kiafrika.Hapo Sasa ni kusema uwalimu ni Sawa na ugonjwa au janga hadi kusababisha vifo vya watu wote hao.
Ikiwapendeza pia walimu wa Uganda waje kujifunza huku Tz walimu wanaishi maisha mazuri hawafi hivyo.
 
Back
Top Bottom