Remmy
JF-Expert Member
- Jun 9, 2009
- 4,701
- 1,799
Sasa wewe utamtumaje mtoto bila kumwambia mamake?
Unaona anavyohaha...
Last edited by a moderator:
Kongosho namsifu zomba aliamua kutetea kile anachokiamini na niliona ni ngumu sana kumtoa kwenye msimamo wake haswa pale alipoamua kuwa yeye anatetea anachokiamini ni sawaNilimsifu Zomba kwa kusimamia upande alioamua kuwa na kuwa 'collected' muda wote japokuwa sikukubaliana na baadhi ya hoja zake, anyway nilijifunza kitu.
Keren_Happuch hizio salam ni zangu za mkuu KaizerHujambo rafiki?
My dear gfsonwin nipo bana
Mjadala ulinibore nikaona naletewa data tuu siambiwi hizo data zinamfaidishaje mtu wa sumbawanga au maneromango au nkasi kule au huku kijijini kwangu Hungumalwa
Nikaona madata yenye masifuri sifuri mengi bila hata kujua yana faida gani
nikachanganyikiw anikaona bora nikale ugali wangu wa mtama nipumzike
Nilimsifu Zomba kwa kusimamia upande alioamua kuwa na kuwa 'collected' muda wote japokuwa sikukubaliana na baadhi ya hoja zake, anyway nilijifunza kitu.
Hujambo rafiki?
Mahabuba wangu achana na masiasa yao wasikuzeesha kabla ya siku zako........acha nijifaidie mautamu yako nikishayanyonya yoooote ndo uingie kwenye sihasa sawa beibe.
:focus: mme wangu twende tukamlete mtoto wa gfsonwin apate faraja
Hujambo rafiki?
Mwaaaaaah Keren_Happuch, twa masiku jamani nimekumiss sana karibu tena jamvini! Hope all is well, ur welcome!:flypig:
rutta thanks a lot ma bro nisaidie kuniitia mwanangu.Ronn popote ulipo mama yako kipenzi ana kutafuta sana. Amelia sana hapa, jamvi lina jaa machozi na masikitiko sana.
Uchungu wa mwana ana ujua mzazi ana tia huruma mama yako.
Macho yake yamekuwa mekundu kwaajili ya kukulilia akizani na wewe umepotelea mwabe pande.
Popote ulipo sikia kilio cha mama yako na angekuwa ni wakule kwetu angesha jinyonga.
Ronn sikia kilio cha mama yako.
Mr Rocky endela bana mpaka sasa sijamwona mwanangu jamani.gfsonwin walinichosha bana naona wanapongezana kwa kuweka data za kucopy na kupaste kutoka kwenye wizara zile zile ambazo zimejaa madudu kibao ya ufisadi halafu wanajisifia wamefanya kazi
Sijui Mkukuta sijui mkurabita maneno magumu ili kutuaminisha wanafanya kazi
Niliwaachia wewe na Kongosho muendeleze league na akina Mwali na zomba bana
Ngoja nishirikiane kumtafuta Ronn M