mwanangu @ronn m..............uko wapi?

gfsonwin

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
18,274
20,673
Jamani wapenzi wa chit chat leo sina raha kabisa.

Naiona kama week end hii ni mbaya kwangu kwa kumkosa mwanangu ronn .Wajomba zake wote Eiyer, platozoom, Excellent, Mbimbinho, na aunt yake Smile. mtafuteni jamani.

baba mtoto Kaizer mshtue hommie wako Asprin na wakeze wote cacico, BADILI TABIA, na Yummy waje wanitafutie. marafiki zangu zote akina Kaunga, Preta, sweetlady , Kongosho, kingasti, na makaka wote wa ukweli erick52, cartura, SnowBall, Billie na Mr Rocky mtafuteni mwanangu jamani tumbo la udele linauma sana.

wazee wenzangu Mtambuzi, Remmy na mama yangu Mamndenyi mtafuteni jamani.

mwambieni hivi momy loves him come home this week end please. Erotica usikose kwenda kumtafuta.
 
Last edited by a moderator:
My dear gfsonwin nipo bana
Mjadala ulinibore nikaona naletewa data tuu siambiwi hizo data zinamfaidishaje mtu wa sumbawanga au maneromango au nkasi kule au huku kijijini kwangu Hungumalwa
Nikaona madata yenye masifuri sifuri mengi bila hata kujua yana faida gani
nikachanganyikiw anikaona bora nikale ugali wangu wa mtama nipumzike
 
Last edited by a moderator:
Pole san a, najua maumivu ya tumbo la udele.....
Nimemwambia Zocka na Rama watusaidie.
Remmy dadayangu nimekumbuka msamba niliochania nilipo mzaa mwambien aje jamani. mtafuteniiii uwiiiiiiiiiiii
 
Last edited by a moderator:
My dear gfsonwin nipo bana
Mjadala ulinibore nikaona naletewa data tuu siambiwi hizo data zinamfaidishaje mtu wa sumbawanga au maneromango au nkasi kule au huku kijijini kwangu Hungumalwa
Nikaona madata yenye masifuri sifuri mengi bila hata kujua yana faida gani
nikachanganyikiw anikaona bora nikale ugali wangu wa mtama nipumzike
Mr Rocky jana nimekuita sana sijakuona tulikuwa mimi na Kongosho tu ila hata hivyo niliskitika kwa kilichompata Matola na pia nampongeza Mwali na zomba kwa kuendeleza.

leo kanitafutie mwanangu kipenzi changu aliye nitoa ujana wangu na kunifanya mama, yai langu la kwanza lililochavushwa Ronn M
 
Last edited by a moderator:
Ronn popote ulipo mama yako kipenzi ana kutafuta sana. Amelia sana hapa, jamvi lina jaa machozi na masikitiko sana.
Uchungu wa mwana ana ujua mzazi ana tia huruma mama yako.
Macho yake yamekuwa mekundu kwaajili ya kukulilia akizani na wewe umepotelea mwabe pande.

Popote ulipo sikia kilio cha mama yako na angekuwa ni wakule kwetu angesha jinyonga.

Ronn sikia kilio cha mama yako.
 
Nimepishana naye mtaa wa pili sijui alikuwa anaelekea wapi? Ngoja niungane na wengine kumtafuta.
 
Mr Rocky jana nimekuita sana sijakuona tulikuwa mimi na Kongosho tu ila hata hivyo niliskitika kwa kilichompata Matola na pia nampongeza Mwali na zomba kwa kuendeleza.

leo kanitafutie mwanangu kipenzi changu aliye nitoa ujana wangu na kunifanya mama, yai langu la kwanza lililochavushwa Ronn M
gfsonwin walinichosha bana naona wanapongezana kwa kuweka data za kucopy na kupaste kutoka kwenye wizara zile zile ambazo zimejaa madudu kibao ya ufisadi halafu wanajisifia wamefanya kazi
Sijui Mkukuta sijui mkurabita maneno magumu ili kutuaminisha wanafanya kazi
Niliwaachia wewe na Kongosho muendeleze league na akina Mwali na zomba bana
Ngoja nishirikiane kumtafuta Ronn M
 
Mr Rocky habari ya masiku bana long time no see kumbe upo kwa kina zomba na Matola so mshindi ni nani?
 
Last edited by a moderator:
Nilimsifu Zomba kwa kusimamia upande alioamua kuwa na kuwa 'collected' muda wote japokuwa sikukubaliana na baadhi ya hoja zake, anyway nilijifunza kitu.

gfsonwin walinichosha bana naona wanapongezana kwa kuweka data za kucopy na kupaste kutoka kwenye wizara zile zile ambazo zimejaa madudu kibao ya ufisadi halafu wanajisifia wamefanya kazi
Sijui Mkukuta sijui mkurabita maneno magumu ili kutuaminisha wanafanya kazi
Niliwaachia wewe na Kongosho muendeleze league na akina Mwali na zomba bana
Ngoja nishirikiane kumtafuta Ronn M
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom