Mwananchi Communications Ltd wamfukuza Makunga Uongozi Wa Saccos Kwa Ufisad

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
May 24, 2008
10,942
428
Wana Bodi
Usiku Wa kuamkia Leo kilifanyika kikao cha Wanachama Wa Saccos ya Mwananchi Communications ltd Na kuamua kumpigia Kura ya kutokua na Imani Mzee Theophil Makunga kwa Ufisadi Wa Tsh 24m.

Makunga kwa heshima tulimchagua na kumpa Uenyekiti Wa Saccos yetu mwaka huu akaamua Kuizia Saccos Gari aina ya Rav4 ambayo ni mbovu alikua anaitumia yeye Binafsi Gari hiyo aliinua Miaka mitano ilopita Hakufata Utaratibu Wa manunuzi tuliokiwekea akaamua Kuizia Saccos Gari mbovu kwa Bei ambayo ni zaidi ya Bei ya Soko Rav4 ya aina ya mwaka 1995 unauzwa 14 Mpaka 16 lakini yy alijilipa 24m

Tuhuma ya Pili alijipa Mkopo Wa Tsh 34m bila kufata utaratibu kikao kiliamua kumuondoa ktk uongozi wakati Hatua zingine zikifata

Kikao kilimchagua Bi Hawra Shamte na Midraj Ibrahim Kuongoza Saccos yetu sisi Kama chombo cha Habari tunapinga Ufisadi na Ubadhirifu hatuwezi Kuvumilia aina hii ya Wizi kwa kiongozi wetu
 
Umeambiwa hakikisha unachokileta hapa kinahusiana na siasa.Mambo ya Saccos yenu yazungumzwe kwenye mikutano yenu, kuleta hii story hapa unaonesha utovu wa nidhamu. Ikiwa kila mtu ataleta story za Saccos yake itakuwa vurugu.
 
Kumfukuza haitoshi, mfungulieni kesi na afungwe, ili liwefundisho kwa Mafisadi wengine
 
Mmefanya nini sasa kumuweka shamte? naamini hizo ni fitina tu; angalia msimamo wa makunga dhidi ya ccm na familia au ukoo wa shamte na ccm; Then utaniambia
 
Mmefanya nini sasa kumuweka shamte? naamini hizo ni fitina tu; angalia msimamo wa makunga dhidi ya ccm na familia au ukoo wa shamte na ccm; Then utaniambia!!!!
 
Wenye Saccos wenyewe ndio wanasema wametapeliwa wewe kwa sababu zako binafsi unamtetea sababu kubwa anapingana na CCM...Mkuu fisadi ni fisadi tu awe CCM, CUF, Chadema, NCCR Mageuzi.
 
Umeambiwa hakikisha unachokileta hapa kinahusiana na siasa.Mambo ya Saccos yenu yazungumzwe kwenye mikutano yenu, kuleta hii story hapa unaonesha utovu wa nidhamu. Ikiwa kila mtu ataleta story za Saccos yake itakuwa vurugu.

hawa wanaoharbu leo unadhani wameanza kuharibu baada ya kuingia ikulu?
 
Mimi nashangaa hawa moderator huwa wanaangalia nini kuikubali au kuiokataa thread. Mimi nilipost thread asubuhi hapa wameizuia mpaka sasa.

Huyu analeta thread bila ushahidi hapa imekubalika.Tanzania tuna safari ndefu
 
Makunga ni mhariri wa gazeti la Mwananchi ambalo huwa linakemea ufisadi. Kwa yeye kuonekana fisadi basi hata gazeti analo lihariri linakosa moral authority ya kukemea ufisadi. Basi ni muhimu gazeti hilo lijitakase kwa kumuondoa kwenye uhariri wa gazeti hilo ili liwe na moral authority ya kukemea ufisadi.
 
Wenye Saccos wenyewe ndio wanasema wametapeliwa wewe kwa sababu zako binafsi unamtetea sababu kubwa anapingana na CCM...Mkuu fisadi ni fisadi tu awe CCM, CUF, Chadema, NCCR Mageuzi.

Am I missing something here? Na wewe unachukia mafisadi? Basi ya leo kali!!!!

Tiba
 
Wana Bodi
Usiku Wa kuamkia Leo kilifanyika kikao cha Wanachama Wa Saccos ya Mwananchi Communications ltd Na kuamua kumpigia Kura ya kutokua na Imani Mzee Theophil Makunga kwa Ufisadi Wa Tsh 24m.

Makunga kwa heshima tulimchagua na kumpa Uenyekiti Wa Saccos yetu mwaka huu akaamua Kuizia Saccos Gari aina ya Rav4 ambayo ni mbovu alikua anaitumia yeye Binafsi Gari hiyo aliinua Miaka mitano ilopita Hakufata Utaratibu Wa manunuzi tuliokiwekea akaamua Kuizia Saccos Gari mbovu kwa Bei ambayo ni zaidi ya Bei ya Soko Rav4 ya aina ya mwaka 1995 unauzwa 14 Mpaka 16 lakini yy alijilipa 24m

Tuhuma ya Pili alijipa Mkopo Wa Tsh 34m bila kufata utaratibu kikao kiliamua kumuondoa ktk uongozi wakati Hatua zingine zikifata

Kikao kilimchagua Bi Hawra Shamte na Midraj Ibrahim Kuongoza Saccos yetu sisi Kama chombo cha Habari tunapinga Ufisadi na Ubadhirifu hatuwezi Kuvumilia aina hii ya Wizi kwa kiongozi wetu

Doooooooooooo! Hata YEYE!
 
Back
Top Bottom