Mwanamke wangu ananishurutisha sana nibebe pochi yake barabarani

Symptoms of a pussified man:

- Carrying her handbag

- Wearing matching clothes

- Her photo as your phone wallpaper

- Drawing tattoos to please her

Your funeral is around the corner.

Change or perish.

Credit: Amerix
 
Hivi! Wanawake wa hivyo huwa mnawatolea wapi! Mkuu you need to be a real men na uongee kwa vitendo nasio kwa maneno pekee kuwa hupendi huo ujinga.

Afu inavyonekana anakudharau sana au yeye ndio anakuhudumia kwa kila kitu.
 
Kubeba tu pochi kunakushinda je ukiambiwa ubebe yeye utaweza? Kama huitaki kubeba pochi basi usiwe unatoka nae out! Mwanamke utambebea pochi kama ana mtoto na unaona ametingwa na kubebana na mtoto na pochi au unambeba mtoto Ili yy abaki na pochi Sasa yy atembee anadengua halafu ww uwe kuli wa kubeba pochi lake, Sasa tafsiri yake ni kwamba huyo demu wako ni limbukeni wa mapenzi na ww kakuona zoba au bwege lake!
 
Ndugu wana Jf salaam

Ndugu zangu kiukweli nime choshwa na hii tabia ya huyu mwanamke wangu na nime muonya sana na kumkwepa kijanja lakini bado hasikii kabisa.

Ndugu huyu mwanamke kila ninapotoka naye out na tunaongozana analazimisha sana ni mbebe pochi yake na nimshike mkono .

Yani utakuta mkono wa kushoto umemshika yeye na mkono wa kuume ume beba pochi yake, mbaya zaidi ndani ya pochi yake kaweka kila kitu chake cha kike na simu yake humo humo na akitaka kitu utasikia fungua unitolee na nikikataa na kumwambia pokea utoe wewe ni ugomvi njia nzima kwa kweli hadi raha inaniisha

Ndugu nimejaribu sana kumkwepa ila sasa naona anataka kuniendesha kisaikolojia na sijui ana maana gani, kuna mda nikiwa nae utasikia baby nishikie pochi yangu kidogo nataka kwenda kujisitiri na nikishika ni kwisha habari yangu nitaibeba njia nzima mpaka siku iishe na nirudi nayo nyumbani

Hii tabia yake inanikwaza sana mimi

Ndugu huyu mwanamke ni mfanyaje maana kero yake kubwa ni hii ya kubebana na mapochi njiani.
Huwezi ona aibu kama unampenda mkeo au ni mrembo utajisikia fahari sana.
Mwamba wewe humpendi mkeo..
 
Cha kufanya tafta shughuli ya kufanya tu. Achana na ubeba pochi
 
mkuu mbona hauko romantic kwa mwenzako huyoo ni chaguo lakoooo
 
Iyo yote ni kwa sababu Me ni kichwa na Ke ni shingo, sasa jiulize kichwa kinaweza kugeuka bila shingo...

Btw simamia msimamo wako kama Me
 
Ndugu wana Jf salaam

Ndugu zangu kiukweli nime choshwa na hii tabia ya huyu mwanamke wangu na nime muonya sana na kumkwepa kijanja lakini bado hasikii kabisa.

Ndugu huyu mwanamke kila ninapotoka naye out na tunaongozana analazimisha sana ni mbebe pochi yake na nimshike mkono .

Yani utakuta mkono wa kushoto umemshika yeye na mkono wa kuume ume beba pochi yake, mbaya zaidi ndani ya pochi yake kaweka kila kitu chake cha kike na simu yake humo humo na akitaka kitu utasikia fungua unitolee na nikikataa na kumwambia pokea utoe wewe ni ugomvi njia nzima kwa kweli hadi raha inaniisha

Ndugu nimejaribu sana kumkwepa ila sasa naona anataka kuniendesha kisaikolojia na sijui ana maana gani, kuna mda nikiwa nae utasikia baby nishikie pochi yangu kidogo nataka kwenda kujisitiri na nikishika ni kwisha habari yangu nitaibeba njia nzima mpaka siku iishe na nirudi nayo nyumbani

Hii tabia yake inanikwaza sana mimi

Ndugu huyu mwanamke ni mfanyaje maana kero yake kubwa ni hii ya kubebana na mapochi njiani.
Mapenzi ya kwenye tamthilia za wakorea na wafilipino hayo. Huo upuuzi siwezi kufanya
 
Back
Top Bottom