Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 1,969
- 5,920
Ndugu wana Jf salaam
Ndugu zangu kiukweli nime choshwa na hii tabia ya huyu mwanamke wangu na nime muonya sana na kumkwepa kijanja lakini bado hasikii kabisa.
Ndugu huyu mwanamke kila ninapotoka naye out na tunaongozana analazimisha sana ni mbebe pochi yake na nimshike mkono .
Yani utakuta mkono wa kushoto umemshika yeye na mkono wa kuume ume beba pochi yake, mbaya zaidi ndani ya pochi yake kaweka kila kitu chake cha kike na simu yake humo humo na akitaka kitu utasikia fungua unitolee na nikikataa na kumwambia pokea utoe wewe ni ugomvi njia nzima kwa kweli hadi raha inaniisha
Ndugu nimejaribu sana kumkwepa ila sasa naona anataka kuniendesha kisaikolojia na sijui ana maana gani, kuna mda nikiwa nae utasikia baby nishikie pochi yangu kidogo nataka kwenda kujisitiri na nikishika ni kwisha habari yangu nitaibeba njia nzima mpaka siku iishe na nirudi nayo nyumbani
Hii tabia yake inanikwaza sana mimi
Ndugu huyu mwanamke ni mfanyaje maana kero yake kubwa ni hii ya kubebana na mapochi njiani.