Mwanamke wangu ameenda ofisini kwao na love bite shingoni. Nipo Dodoma kikazi, ijumaa narudi Dar kuonana naye

Ukweli mm si mtu wa kumfatilia mwanamke wala kumbana .Na wala sitakagi kujipa mawazo ya kijinga sabab si leo nimeanza nae mahusiano ya Long distance nimekaa Finland kuanzia 2019 hadi niliporudi mwaka huu 2023 January nikakuta tumehamishiwa dodoma ..Mimi ni mtu mzima siwezi kumfatilia mtu mzima mwenzangu.. Kumbe uhuru niliompa malipo si hayA .. kwani nyie wanawake mnatakaga nn?
Unavomsaliti mchumba wako unakua unawaza nn ?
Tukiua tunaonekana sisi ndo wakorofi ila wanawake wanatakiwa waingizwe kwenye listi ya vitu vinavoleta majanga duniani..
Ukiacahana na ukame, mafuriko,tsunami,vita mate matetemeko hivyo ndo vitu vinaleta majanga makubwa duniani inabdi wanawake nao watangazwe ni chanzo kingine cha majanga...
Bro najua una emotions kali, ila ukweli mchungu ni kwamba asilimia kubwa ya long distance relationships(sio zote ila % kubwa), they just don't work. Mwanaume anaweza kuwa committed ila sio mwanamke kwa kuwa mwanamke ni visual beings, asipokuwa na physical contact na wewe kwa muda mrefu, ana asilimia kubwa ya kukusaliti.

Usimpige, block number, kama umempangia chumba, kachukue mizigo yako usimwambie chochote, then sepa. Anza maisha mapya.

Kuwa mwanaume mwenye maamuzi. Mimi kwa mfano nachokonoa hadi systems kufahamu uhalisia kuhusu mwanamke ninaye-date naye, nikiona hamnazo, I just walk away.
 
Kwa hiyo mm ndo nivumilie mwanamke wangu apigwe love bite nipotezee?
Kama aliamua kusaliti si angesaliti yaani ndo mpaka ang'atwe shingoni?
Huku ni kunikosea heshima na adabu na huu ni utovu mkubwa wa nidhamu ..
Aisee lazima apate alichostahili kupatiwa ..
Hadi hapa kashavuruga Ratiba yangu ya kwenda Machame December mana ndo nilikua naenda kumtambulisha.
Umemuoa huyo mwanamke?? Halafu kwanini kumpiga kwamba ukimpiga ndio atakuwa hajapigwa love bite au hajakusaliti ( Undo)????
Real men don beat women wewe kama umemuamini huyo swala tano wako basi achana nae bila kupigana.

Halafu mama mtu mzima " mnayeheshimiana" mnaanzaje kuongelea mambo la love bite? Kama hakupendezwa kwanini asingemwambia workmate wake hadi akupigie simu wewe??
 
Ukweli mm si mtu wa kumfatilia mwanamke wala kumbana .Na wala sitakagi kujipa mawazo ya kijinga sabab si leo nimeanza nae mahusiano ya Long distance nimekaa Finland kuanzia 2019 hadi niliporudi mwaka huu 2023 January nikakuta tumehamishiwa dodoma ..Mimi ni mtu mzima siwezi kumfatilia mtu mzima mwenzangu.. Kumbe uhuru niliompa malipo si hayA .. kwani nyie wanawake mnatakaga nn?
Unavomsaliti mchumba wako unakua unawaza nn ?
Tukiua tunaonekana sisi ndo wakorofi ila wanawake wanatakiwa waingizwe kwenye listi ya vitu vinavoleta majanga duniani..
Ukiacahana na ukame, mafuriko,tsunami,vita mate matetemeko hivyo ndo vitu vinaleta majanga makubwa duniani inabdi wanawake nao watangazwe ni chanzo kingine cha majanga...
Fin ndio umeona wakiish hivyo.

Yani ukute ni mwanangu anakuja niambia amepigwa na mtu anaejiita mchumba aisee utanitambua, hakuna rangi utaacha ona " chali angu" nakufanya hamna.... utakoma kabisa kupiga wanawake... I'm telling you... wewe piga kwasabab unamuona mnyonge mwenzako, siku ukipata wenye back up ndio utakuwa mwisho wako wa kuliliq mambo yaliyokuzid uwezo.
 
Jana jioni nilipigiwa simu na dada mmoja ambae anafanya kazi ofisi moja na huyo mchumba wangu. Bila kupepesa macho alinambia kwa nini umemfanyia hivo mwenzio?

Nikamuuliza mbona sijafanya kitu? Akanambia kwanini umng'ate mwenzio shingoni (Love bite) una mchoresha. Nilistuka lakini sikuonesha sana mshangao ikabid nizuge tu kwa kumwambia tulijisahau.

Basi tukaendelea na maongezi mengine. Huyu dada anaefanya kazi na mchumba wangu huwa anafahamu kua kila weekend lazima niwe dar na bibie. Ila ukweli weekend hii sikua Da. Kwa asilimia 100 mchumba wangu amenisaliti.

Na mimi sijamueleza kitu ila kwa kweli nimeshafanya maamuzi siwezi tena kua na mwanamke msaliti. Na nimeumia sana na kwa hili lazima alipe siwezi kuumia peke yangu.

Nna mawazo sana na itabidi nipande basi maana naona niki drive hata Kutokea Dodoma hata Kibaigwa sitatoboa kwa huu msongo ntajikuta nimeingia porini na kufia huko.

Ni bora nipande basi nifike salama. Kwa kweli lazima ale kipigo kikali sanaa na kitakatifu. Sijawahi shika simu yake ila ntampiga mpaka ataifungua najua ntakutana na madudu mengi yatakayo nipa hasira ili nimpige vizuri.

Kama ni usaliti si angefanya tuu kimya kimya yaani mpaka love bite anaenda nayo ofisini na heshima yangu niliyo nayo pale ofisini kwao maana staff wenzake wengi tunafahamiana si wataniona mshamba?

Kiukweli nna hasira kali sanaa. Na kila nilicho mpa ntachoma moto na niliko mpangia naenda kuweka komeo maana mimi ndo nasomeka kwenye mkataba wa upangaji..

Hii dhahiri shairi nimepigiwa. Mwanamke nilimpa kila kitu ila ndo hivo.

Na uchumba umekufa rasmi.
Ungenwambia apige picha ili uthibutishe. Huenda huyu rafiki anataka kukuachanisha naye. Yaani nime sense wivu kutoka kwake. Usipotumia akili za kiuanaume basi mchumba utampoteza kijinga.
 
Fin ndio umeona wakiish hivyo.

Yani ukute ni mwanangu anakuja niambia amepigwa na mtu anaejiita mchumba aisee utanitambua, hakuna rangi utaacha ona " chali angu" nakufanya hamna.... utakoma kabisa kupiga wanawake... I'm telling you... wewe piga kwasabab unamuona mnyonge mwenzako, siku ukipata wenye back up ndio utakuwa mwisho wako wa kuliliq mambo yaliyokuzid uwezo.
Kwa taarifa yako mm si mwanaume dhaifu..
Mwanaume ni kichwa
Mwanaume ni mfalme
Mwanaume ni dume la simba
Huezi kunitishia mm siogopi na huna cha kunifanya huezi toa ushauri pita kimya kimya
Unaeza kunitishia kunipiga ww tusichukuliane poa kabisa humu.. mtoto wako tu nyumbani alivunja glass unamchapa sembuse mwanamke anaekusaliti umwache tu kizembe ?
Aisee hapana si kwa mm sitakagi ujinga hata kidogo...
 
Jana jioni nilipigiwa simu na dada mmoja ambae anafanya kazi ofisi moja na huyo mchumba wangu. Bila kupepesa macho alinambia kwa nini umemfanyia hivo mwenzio?

Nikamuuliza mbona sijafanya kitu? Akanambia kwanini umng'ate mwenzio shingoni (Love bite) una mchoresha. Nilistuka lakini sikuonesha sana mshangao ikabid nizuge tu kwa kumwambia tulijisahau.

Basi tukaendelea na maongezi mengine. Huyu dada anaefanya kazi na mchumba wangu huwa anafahamu kua kila weekend lazima niwe dar na bibie. Ila ukweli weekend hii sikua Da. Kwa asilimia 100 mchumba wangu amenisaliti.

Na mimi sijamueleza kitu ila kwa kweli nimeshafanya maamuzi siwezi tena kua na mwanamke msaliti. Na nimeumia sana na kwa hili lazima alipe siwezi kuumia peke yangu.

Nna mawazo sana na itabidi nipande basi maana naona niki drive hata Kutokea Dodoma hata Kibaigwa sitatoboa kwa huu msongo ntajikuta nimeingia porini na kufia huko.

Ni bora nipande basi nifike salama. Kwa kweli lazima ale kipigo kikali sanaa na kitakatifu. Sijawahi shika simu yake ila ntampiga mpaka ataifungua najua ntakutana na madudu mengi yatakayo nipa hasira ili nimpige vizuri.

Kama ni usaliti si angefanya tuu kimya kimya yaani mpaka love bite anaenda nayo ofisini na heshima yangu niliyo nayo pale ofisini kwao maana staff wenzake wengi tunafahamiana si wataniona mshamba?

Kiukweli nna hasira kali sanaa. Na kila nilicho mpa ntachoma moto na niliko mpangia naenda kuweka komeo maana mimi ndo nasomeka kwenye mkataba wa upangaji..

Hii dhahiri shairi nimepigiwa. Mwanamke nilimpa kila kitu ila ndo hivo.

Na uchumba umekufa rasmi.

Unaenda kumpiga mchumba, tena usikute hata mahari bado hujatoa. Ukioa si utaua kabisa.
 
Kwa taarifa yako mm si mwanaume dhaifu..
Mwanaume ni kichwa
Mwanaume ni mfalme
Mwanaume ni dume la simba
Mwanaume ni kiongozi
Mwanaume ni mtawala..
Hizo ndo sifa za mwanaume
Huezi kunitishia mm siogopi na huna cha kunifanya huezi toa ushauri pita kimya kimya
Unaeza kunitishia kunipiga ww tusichukuliane poa kabisa humu.. mtoto wako tu nyumbani alivunja glass unamchapa sembuse mwanamke anaekusaliti umwache tu kizembe ?
Aisee hapana si kwa mm sitakagi ujinga hata kidogo...
 
Wengine tunajiweka love bite tukimis mjegeje
So hakiki kama sehemu ilipo mtu hawezi kujiweka
 
Tatizo lenu hamumsikilizi dronedrake .
Haya achana nae huyo muoe shemeji aliyekupa taarifa.

Halafu na wewe una mazoea mabaya na wafanyakazi wenzake na mkeo. Anapataje ujasiri wa kukwambia jambo kama hilo?
aae.jpg

hii ndiyo dawa yenu, majivu yanafukiwa shamba la Mkuranga kama ratiba inavyoeleza

cc: Hamis Said Luongo
 
Kwa taarifa yako mm si mwanaume dhaifu..
Mwanaume ni kichwa
Mwanaume ni mfalme
Mwanaume ni dume la simba
Huezi kunitishia mm siogopi na huna cha kunifanya huezi toa ushauri pita kimya kimya
Unaeza kunitishia kunipiga ww tusichukuliane poa kabisa humu.. mtoto wako tu nyumbani alivunja glass unamchapa sembuse mwanamke anaekusaliti umwache tu kizembe ?
Aisee hapana si kwa mm sitakagi ujinga hata kidogo...
Pamoja na yote hayo juu hapo bado unaumizwa na mapenzi. Where was ufalme na udume wa simba mpaka ukachapiwa??
 
Tatizo lenu hamumsikilizi dronedrake .
Haya achana nae huyo muoe shemeji aliyekupa taarifa.

Halafu na wewe una mazoea mabaya na wafanyakazi wenzake na mkeo. Anapataje ujasiri wa kukwambia jambo kama hilo?
Huyo mwanamke mm ndie niliemtafutia hiyo kazi hapo maana nilikua nafanya kazi hapo kabla sijapata kazi serikalini..So staff wenzake wengi nawajaua sabab niliwah fanya kazi nao ..
 
Kwamba ukiua ndo utaishi kwa amani? Watoto wazuri wamejaa kibao uue uende jela mwishowe ushikishwe ukuta.

Kata mti panda mti, stress for what?
mnacheza na hisia za watu, mizinga umpige , mahari juu, bado ukagawe nyuchi kwengine ?
 
Back
Top Bottom