The Best Of All Time
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,971
- 6,862
Bro najua una emotions kali, ila ukweli mchungu ni kwamba asilimia kubwa ya long distance relationships(sio zote ila % kubwa), they just don't work. Mwanaume anaweza kuwa committed ila sio mwanamke kwa kuwa mwanamke ni visual beings, asipokuwa na physical contact na wewe kwa muda mrefu, ana asilimia kubwa ya kukusaliti.Ukweli mm si mtu wa kumfatilia mwanamke wala kumbana .Na wala sitakagi kujipa mawazo ya kijinga sabab si leo nimeanza nae mahusiano ya Long distance nimekaa Finland kuanzia 2019 hadi niliporudi mwaka huu 2023 January nikakuta tumehamishiwa dodoma ..Mimi ni mtu mzima siwezi kumfatilia mtu mzima mwenzangu.. Kumbe uhuru niliompa malipo si hayA .. kwani nyie wanawake mnatakaga nn?
Unavomsaliti mchumba wako unakua unawaza nn ?
Tukiua tunaonekana sisi ndo wakorofi ila wanawake wanatakiwa waingizwe kwenye listi ya vitu vinavoleta majanga duniani..
Ukiacahana na ukame, mafuriko,tsunami,vita mate matetemeko hivyo ndo vitu vinaleta majanga makubwa duniani inabdi wanawake nao watangazwe ni chanzo kingine cha majanga...
Usimpige, block number, kama umempangia chumba, kachukue mizigo yako usimwambie chochote, then sepa. Anza maisha mapya.
Kuwa mwanaume mwenye maamuzi. Mimi kwa mfano nachokonoa hadi systems kufahamu uhalisia kuhusu mwanamke ninaye-date naye, nikiona hamnazo, I just walk away.