Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanamke wa kimbulu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Emma., Sep 2, 2012.

 1. Emma.

  Emma. JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 19,931
  Likes Received: 2,981
  Trophy Points: 280
  Naombeni msaada wenu kuhusu wanawake wa kimbulu nasikia wana tabia kupeana wenyewe kwa wenyewe hawatulia je ukwl hapo kwa 7 kama uzuri wamejaliwa kwa kweli tatizo tabia sijui kama ni kweli?
   
 2. c

  christmas JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 2,485
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  nadhani hii kitu imejadiliwa mara kibao hapa jamvini, mbona mnawasakama wenzenu?
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,152
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 145
  usinitie wazimu, next week naoa mmbulu
   
 4. K

  Kaldinali JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2012
  Joined: May 25, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni vicheche!
   
 5. Gajungi

  Gajungi Senior Member

  #5
  Sep 2, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 189
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ni pendapenda sana.
   
 6. h

  hacena JF-Expert Member

  #6
  Sep 2, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 620
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  umepoteza ni wanafaki waongo, wachonganishi, na wafitini.
   
 7. BRO LEE

  BRO LEE JF-Expert Member

  #7
  Sep 2, 2012
  Joined: Dec 25, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Tabia ya m2 hutokana na mazingira ya makuzi ya m2 husika, hivyo sidhani km ni sahihi kutoa mtizamo wa jumla kuhusu tabia za wa2 wa kabila fulani.
  Unanachotakiwa kufanya ni kujua maisha ya nyuma ya mhusika huyo unayetaka kumwoa/kuwa wapenzi yaani familia yake aliyokulia ikoje, kwa mtizamo wangu haka km utaoa kutoka katika kabila linalosifika kwa kubana miguu km hutatimiza majukumu yako km mwanaume wapo watakao kusaidia kuiweka upande. Hivyo jiamini naamini hakuna tabia za kabila bali ni tabia za mtu kutokana na mazingira.

  Kuna baadhi ya wadada ya kimbulu nawafahamu kwa kweli wananivutia kwa tabia zao kwani pamoja na kuwa wazuri/warembo na kuandamwa na wanaume wakware lakini wanajiheshimu sana,na hawana nyodo.
   
 8. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #8
  Sep 2, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,878
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 135
  hebu acheni kuwasakama hawa mabeuty wa ki iraqw mimi nimedondokea huko huko.kama unaona ni warahisi njoo mtongoze wa kwangu!yupo hapa hapa jf.
   
 9. AcinonyxJubatus

  AcinonyxJubatus Senior Member

  #9
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwanza hakuna kabila la wambulu, mbulu ni eneo, wao huitwa wairaqui, na wametapakaa mbulu kwenyewe, karatu, babati na hanagh. Pili ulichoambiwa ni uongo hiyo tabia hutegemea na mtu husika, kama usemayo ni kweli wengine tungeshafukuza wake zetu, mimi pia nimeoa huko, she is faithful I can say. Acha woga kijana.
   
 10. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #10
  Sep 2, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,814
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Actually hakuna haja ya malumbano. Sikiliza yasemwayo na waliokutangulia, halafu fanya homework yako, then jipime uko usawa gani.
  Watakaokuja watajifunza kutoka kwako pia.
   
 11. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #11
  Sep 2, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,816
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 160
  aCHENI UKABILA WAZEE
   
Loading...