ha ha ha hapo ndo umenstua why did i get married?
Huyo dada kama bongo ni asha ngedere lol
kiukweli huwa natamani nimwache mwanduda wangu coz yeye kununa bila sababu n kama dozi ya dawa...halafu hakubali kuwa anakosea hata kama amekukosea kukuomba msamaha na kuacknowledge kosa ni ugomvi mwingine...sio cri ananikera ila ndi nsaoza tenaha ha ha kimoja tu hapo kinanihusu kukasirika sirika ovyo jamani sijui nitatokanaje na hili tatizo?namkasirikia sana mpenzi wangu kitu kidogo nimenuna loo.
Inshort mwanamke usafi mazingira siyo kunuka kikwapa looo.
Uonekane yaani ukipita watu wakuone umepita siyo unapita hata kunguru hastuki kama umepita jamani kuna watu waakipita tu hata kichaa atamchekea
Mbona hujafafanua kama baada ya kukuta harufu kwenye kimkweche kama ulivyokiita ulikubali kwenda naye au la!!Unajua shoga angu nini ee, baadhi ya wanaume waone hivi hivi ndani ya mashati ya bei na suruali kali na sandals au viatu vya kufuta...lakini mwambie avue hizo nguo, beberu si beberu...ng'onda si ng'onda...basi ilimradi tu anachuruzika mijiharufu.
Kuna mkaka mmoja alikuwa ananifukuzia karibu miezi 6, nikawa nampa za uso na hi za mbali, btw siku hiyo nikasema isiwe tabu...nimepewa bure, acha nami nitoe bure.
Nikamwambia anifate home kwetu.
Akaja mida ya 6 mchana na mkweche wake.
Mungu wangu...ile nafungua mlango wa gari ili nipande,ilitoka harufu mle ndani, nikawa najiuliza...naingia ndani ya gari, au ndani ya zizi la mbuzi!
Jamani wakaka, mnajitia aibu...ogeni.
Chambeni...na msichambe wima.
Pafyumu haifui dafu mbele ya jasho lenu la beberu.
Msisahau kufua na soksi.
happiness win...endelea!!!
nimedanda gari kwa mbelehah ah ah ha bora hiwe hivyo lakini ukweli ni kwamba ni wanawake wachache wanakuwa wawazi kwa wenza wao.
Wengi uishia kuongea kwenye mitamdao.
Jamani mnatuonea. Inawezekana na hao uliokutana nao tu sio wote.Wao ndo wenyewe kwa kunuka vikwapa na hawanyoi Pia,inabidi utembee na airfreshner!
This is not fair. Hapendi kunuka mdomo inawezekana ni maradhi.Kunuka mdomo nako. Kuna dada mrembo anafanya BOT.. kwa kunuka mate.. hafai.
Huu uzi umenifurahisha sana ila it goes both ways ila wakaka mmezidi. Wengi wenu kuoga ni kujimwagia tu maji dakika 2 mmetoka. Wengi wenu mnajipulizia perfume kali mno ambazo zinachangia kukufanya unuke badala ya kunukia. Usafi wa mdomo pia ni tatizo kwa wanaume wengi, hampigi mswaki vizuri pamoja na kusafisha ulimi. I like the fact kwamba mnavaa vizuri but seriously do something about your personal hygiene kateni kucha, kuvaa soksi na boxer safi kila siku, kuwa na zaidi ya pair moja ya viatu ili uvipe muda kukauka na kutoa uvundo. Ni hayo tu.