Mwanamke: Vitu ambavyo vinaweza kumfanya mwanaume asikuone una mvuto pamoja na uzuri wako...

ha ha ha kimoja tu hapo kinanihusu kukasirika sirika ovyo jamani sijui nitatokanaje na hili tatizo?namkasirikia sana mpenzi wangu kitu kidogo nimenuna loo.
Inshort mwanamke usafi mazingira siyo kunuka kikwapa looo.
Uonekane yaani ukipita watu wakuone umepita siyo unapita hata kunguru hastuki kama umepita jamani kuna watu waakipita tu hata kichaa atamchekea
kiukweli huwa natamani nimwache mwanduda wangu coz yeye kununa bila sababu n kama dozi ya dawa...halafu hakubali kuwa anakosea hata kama amekukosea kukuomba msamaha na kuacknowledge kosa ni ugomvi mwingine...sio cri ananikera ila ndi nsaoza tena
 
Unajua shoga angu nini ee, baadhi ya wanaume waone hivi hivi ndani ya mashati ya bei na suruali kali na sandals au viatu vya kufuta...lakini mwambie avue hizo nguo, beberu si beberu...ng'onda si ng'onda...basi ilimradi tu anachuruzika mijiharufu.
Kuna mkaka mmoja alikuwa ananifukuzia karibu miezi 6, nikawa nampa za uso na hi za mbali, btw siku hiyo nikasema isiwe tabu...nimepewa bure, acha nami nitoe bure.
Nikamwambia anifate home kwetu.
Akaja mida ya 6 mchana na mkweche wake.
Mungu wangu...ile nafungua mlango wa gari ili nipande,ilitoka harufu mle ndani, nikawa najiuliza...naingia ndani ya gari, au ndani ya zizi la mbuzi!
Jamani wakaka, mnajitia aibu...ogeni.
Chambeni...na msichambe wima.
Pafyumu haifui dafu mbele ya jasho lenu la beberu.
Msisahau kufua na soksi.
happiness win...endelea!!!
Mbona hujafafanua kama baada ya kukuta harufu kwenye kimkweche kama ulivyokiita ulikubali kwenda naye au la!!
Hii inadhihirisha kuwa Hata kama wananukaje, bado mnawahitaji hivyo hivyo walivyo.
Nawasilisha. N.B: Asante Kwa kuwakumbusha wanaume usafi wa mwili....
 
Last edited by a moderator:

hahahaaa!!mke mwenzangu na wewe
unafukunyua mambo,mi sitii neno nasubiri
hilo jibu litakalotolewa ili nilitathmini!!
 
Huu uzi umenifurahisha sana ila it goes both ways ila wakaka mmezidi. Wengi wenu kuoga ni kujimwagia tu maji dakika 2 mmetoka. Wengi wenu mnajipulizia perfume kali mno ambazo zinachangia kukufanya unuke badala ya kunukia. Usafi wa mdomo pia ni tatizo kwa wanaume wengi, hampigi mswaki vizuri pamoja na kusafisha ulimi. I like the fact kwamba mnavaa vizuri but seriously do something about your personal hygiene kateni kucha, kuvaa soksi na boxer safi kila siku, kuwa na zaidi ya pair moja ya viatu ili uvipe muda kukauka na kutoa uvundo. Ni hayo tu.
 
msalimie Nim...lol
 
Back
Top Bottom