Mwanamke: Ukitongozwa ujue aidha umependwa au umedharauliwa! Acha kujirahisisha...

Status
Not open for further replies.
kutongozwa ni inelastic demand babu.


hahahah Husninyo kwani imekuwa chumvi hiyo? LOL....kama kweli ni hivyo then unajustfy kwamba kutongozwa ni kawaida kabisa and its a 'basic need' sasa kwa nini kuwanyanyapaa watongozaji?

chumvi ikikosekana madukani nchi itatawalika hii?

twende tukadai 'kariba mpya' sasa
 
Husninyo ndege mjanja hunaswa na tundu bovu, wasichana wanaobanaga sana wanaangukiaga kwa masoro(slang ya moshi)/hata mateja.

Huwezi kusema unakuwa mgumu usitongozwe kama una sura na umbo la kuvutia yaani kama Mungu mwenyezi mwenye rehema zote alikuumba jumapili baada ya misa ya pili siku ya mapunziko lazma usumbufu uupate hata kama ungenuna kwa vile ukilia mzuri ukinuna mzuri ukicheka balaa ukitembea ndiooo OMG dd u see thaaaat.

Ukitaka usitongozwe kama ww kuwa huogi uwe una vuja kikwapa hata kama kuna baridi. Uwe unatema jasho kali walah hata mlevi akusogelei.

Kama una sura mbaya is an added advantage

Nguli Jabali naona umeamua kutoa vipande vyako hah ha ha ha
 
hii sredi bado inaendelea?

husninyo nakusubiri laboratory, leo tutapasua mende na kesho tutakamilisha sylabuss kwa kupasua chura. njoo haraka mhadhiri nishavaa gloves, au unahisi tumpasue bila gloves?

bek to ze topik: kinadada kuweni wagumu halaf wakikutongozeni sana naomba mlete mashtaka yenu kwangu, i am a universal shoulder to cry on for all ladies.

nakuja. Halafu ile reproductive system sikuielewaga vizuri.
Ya mende lakini.
 
hahahah Husninyo kwani imekuwa chumvi hiyo? LOL....kama kweli ni hivyo then unajustfy kwamba kutongozwa ni kawaida kabisa and its a 'basic need' sasa kwa nini kuwanyanyapaa watongozaji?

chumvi ikikosekana madukani nchi itatawalika hii?

twende tukadai 'kariba mpya' sasa


Kumbe ndio hicho alichoongea kwa lugha ya malkia? Basi kajimaliza na kesi imeisha!:closed_2:
 
ukitongozwa ni baraka mradi asiwe kichaa tu. Dume ni dume tu maana kazi ni moja.
 
and thats why 'it depends' validates everthing tracy.....kugeneralise hii issue inakuwa ngumu sana....

sasa kuna mtu kasema kuhusu uzuri vs kutongozwa,jamani you sometimes have to be a lady to know what its like,mtu anaeza kuwa mzuri lakini jinsi anavyojiprotray ni independent,sio wa kuzoezoea tu,hapo kutongozwa inakua less na kuna mwingne sio mzuri lakini yani unavomuona ni just by the snap of your fingure she is gud to go,anaeza kuwa aproachd hata mara 50kwa siku.so,kuna vipimo kwa kila kitu,ukiona unakua approached SANA take a minute and reflect yourself,na pia ukiona it takes muda mwingi sana hata kuambiwa mambo dada?!look back lol!so inahitajika kiasi hata Mungu anasema..SO IT DEPENDS!
 
mpaka sasa sredi inakwenda vizuri sana. kwa niaba ya mods tunapenda kuwashkuru sana kwa kufikisha page 6 bila mikwaruzano wala off topic.

asanteni sana. kumbe mkiwezeshwa mnaweza.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom