Mwanamke: Ukitongozwa ujue aidha umependwa au umedharauliwa! Acha kujirahisisha...

Status
Not open for further replies.
tuwe wagumu kutengeneza mazingira yatakayosababishwa tutongozwe. Unajua kuna wasichana wengine wanajirahisisha kabisa. Kama una friends wa kiume jaribu kudadisi kuhusu hilo.
Riziki kama ipo ipo tu mpenzi.
Njia ya mafanikio sio moja.

acha kubana bibie...mbona unataka kufanya maisha yawe magumu?
 
Hayaa nimemaliza kusoma thread na post zote.

Hii biashara ya Kutongoza/kutongozwa mi sioni ubaya wake, iwepo tu na watongozaji wawe huru kabisa, hakuna kumnyima mtu kutongoza, aidha umenidharau au umeniheshimu, nyie si mmeumbiwa kutongoza bwana.

Uwe mlevi, uwe kichaa, uwe tajiri/maskini, uwe babu, kaka, baba fanya kadiri nafsi yako inavyokutuma.

Ila sasa we si nimekubali uwe na uhuru, unipe na mimi uhuru wa kukujibu lile jibu ninaloona ni sahihi kwako, halafu ulikubali ulifanyie kazi sawasawa.

Kutongoza sio usumbufu, unamsumbua mtu mpaka anatamani kuhama ofisi, mji nk nk. Ni biashara tu ya kuzungumza na kumaliza mara moja. Halafu unalifanyia kazi jibu la mtongozwaji maisha yanaendelea.

Zingatia unayemtongoza ana akili timamu na kile anachokisema anakijua na amepima maelezo yako akaona hilo ndo jibu linakufaa.

Haya malizieni jpili salama.

LD,

Mara nyingi wadada wanashindwa kuonesha hayo unayayoyasema (kwenye red) kwa maneno na vitendo vyao. Ndiyo maana wanaume wengi huamua kukomaa hadi kieleweke! Au nakosea?
 
Habari njema kaka!

Hakuna ubaya kutongoza/kutongozwa na hiyo ipo tu! Tumeumbiwa hivo wanadamu.

Kujifanya mgumu manake nini kaka, kuna majibu mawili tu ambayo ni ndiyo na hapana. Nakubaliana na uhuo mtongozo Ndiyo, sikubaliani nao Hapana.

Hasara na faida inategemea na mtongozwaji mwenyewe, akisema ndiyo sehemu ambayo ilibidi aseme hapana anapata hasara coz ataumia. Akisema hapana sehemu ambayo anatakiwa aseme ndiyo anapoteza.

Tunazingatia mtongozwaji ni mtu mwenye akili timamu na mwenye uwezo wa kufanya maamuzi binafsi.

Lazima kuna kitu kinachopelekea kutongoza yaweza kuwa upendo wa kweli, tamaa tu, labda ulevi na mazingira yanayopelekea mtu akutake kimapenzi. Na sababu nyingine ikiwemo dharau pia.

Ntashukuru kama ntakuwa nmejitaidi kukujibu kaka angu.

The Following User Says Thank You to LD For This Useful Post:

The Finest (Today)​
 
LD,

Mara nyingi wadada wanashindwa kuonesha hayo unayayoyasema (kwenye red) kwa maneno na vitendo vyao. Ndiyo maana wanaume wengi huamua kukomaa hadi kieleweke! Au nakosea?

Aahhh!!! Babu heshima yako upo siku hiziumepotea
 
nakusupport sana kwa hili coz inaonesha ni jinsi gani umekomaa,HONGERA SANA!suala la kutongoza sio kama official letter,halina heading ni mazungumzo ya kawaida tu.Naamini kuwa mwanamke kutongozwa ni heshima kubwa!pls msitutukane jamani bah!..

Exactly!!!

Naona kuna watu wanataka tuwe na sheria na kanuni za kuendesha hili bunge la MMU ya nje ya JF. Tutaweza?
 
Ahaha!haya kaizer..ila nshaskia from guys that kuna galz wanajieka kuwaapproached!SO IT DEPENDS!aha

and thats why 'it depends' validates everthing tracy.....kugeneralise hii issue inakuwa ngumu sana....
 
Husninyo ndege mjanja hunaswa na tundu bovu, wasichana wanaobanaga sana wanaangukiaga kwa masoro(slang ya moshi)/hata mateja.

Huwezi kusema unakuwa mgumu usitongozwe kama una sura na umbo la kuvutia yaani kama Mungu mwenyezi mwenye rehema zote alikuumba jumapili baada ya misa ya pili siku ya mapunziko lazma usumbufu uupate hata kama ungenuna kwa vile ukilia mzuri ukinuna mzuri ukicheka balaa ukitembea ndiooo OMG dd u see thaaaat.

Ukitaka usitongozwe kama ww kuwa huogi uwe una vuja kikwapa hata kama kuna baridi. Uwe unatema jasho kali walah hata mlevi akusogelei.

Kama una sura mbaya is an added advantage
 
Exactly!!!

Naona kuna watu wanataka tuwe na sheria na kanuni za kuendesha hili bunge la MMU ya nje ya JF. Tutaweza?

mkuu, yaani kuna mtu anautwa sijui trustme, kachafua hali ya hewa na sredi yake ya 'wababa wa JF', ........
 
ha ha ha!
Ahsante kwa kuongezea hapo.
Unajua beauty is confidence.
Ukijiamini hata kama ni mbaya kiasi gani lazima uwe na market.
Ndio hapo sasa uwe mzuri/mbaya utaingia tu kwenye channel ya kutongozwa.

Una maanisha nini?

Kwamba forces of supply and demand ziko kazini au babu kapoteza dira?
 
Habari njema kaka!

Hakuna ubaya kutongoza/kutongozwa na hiyo ipo tu! Tumeumbiwa hivo wanadamu.

Kujifanya mgumu manake nini kaka, kuna majibu mawili tu ambayo ni ndiyo na hapana. Nakubaliana na uhuo mtongozo Ndiyo, sikubaliani nao Hapana.

Hasara na faida inategemea na mtongozwaji mwenyewe, akisema ndiyo sehemu ambayo ilibidi aseme hapana anapata hasara coz ataumia. Akisema hapana sehemu ambayo anatakiwa aseme ndiyo anapoteza.

Tunazingatia mtongozwaji ni mtu mwenye akili timamu na mwenye uwezo wa kufanya maamuzi binafsi.

Lazima kuna kitu kinachopelekea kutongoza yaweza kuwa upendo wa kweli, tamaa tu, labda ulevi na mazingira yanayopelekea mtu akutake kimapenzi. Na sababu nyingine ikiwemo dharau pia.

Ntashukuru kama ntakuwa nmejitaidi kukujibu kaka angu.

Orait orait....

The Following User Says Thank You to LD For This Useful Post:

Kaizer (Today)​
 
Husninyo ndege mjanja hunaswa na tundu bovu, wasichana wanaobanaga sana wanaangukiaga kwa masoro(slang ya moshi)/hata mateja.

Huwezi kusema unakuwa mgumu usitongozwe kama una sura na umbo la kuvutia yaani kama Mungu mwenyezi mwenye rehema zote alikuumba jumapili baada ya misa ya pili siku ya mapunziko lazma usumbufu uupate hata kama ungenuna kwa vile ukilia mzuri ukinuna mzuri ukicheka balaa ukitembea ndiooo OMG dd u see thaaaat.

Ukitaka usitongozwe kama ww kuwa huogi uwe una vuja kikwapa hata kama kuna baridi. Uwe unatema jasho kali walah hata mlevi akusogelei.

Kama una sura mbaya is an added advantage

Mkuu umenivunja mbavu...Hii kesi lazima niipeleke kwa pilato.

Ni mzima wewe lakini? Babu yupo kama hayupo!
 
Mi nakubaliana nawe Husninyo to some extent,.imekuja pahali that girls wanafkiri ukitongozwa sana ndo we ni mzuri kupindukia,kumbe men sometimes take you as sm1 so ignorant o easy.
umeona eeeh!

Tena hao wasichana ndio wanazidishiwa ujeuri na vidume. Kidume kikitaka mambo yake utasifiwa wewe hadi ujione kama vile umeshushwa moja kwa moja kutoka mbinguni.
 
Husninyo ndege mjanja hunaswa na tundu bovu, wasichana wanaobanaga sana wanaangukiaga kwa masoro(slang ya moshi)/hata mateja.

Huwezi kusema unakuwa mgumu usitongozwe kama una sura na umbo la kuvutia yaani kama Mungu mwenyezi mwenye rehema zote alikuumba jumapili baada ya misa ya pili siku ya mapunziko lazma usumbufu uupate hata kama ungenuna kwa vile ukilia mzuri ukinuna mzuri ukicheka balaa ukitembea ndiooo OMG dd u see thaaaat.

Ukitaka usitongozwe kama ww kuwa huogi uwe una vuja kikwapa hata kama kuna baridi. Uwe unatema jasho kali walah hata mlevi akusogelei.

Kama una sura mbaya is an added advantage

hahah hahha
 
well said Nguli....tatizo kuna watu watabisha ukweli huu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom