Mwanamke ukijichora tattoo, huolewi "ng'o!

Tattoo zina tafsiri chanya huko majuu, lkn siyo hapa Bongoland. Watu wengi wanatafsiri tattoo kama uhuni (wezi, makahaba na maraibu wa madawa ya kulevya).

Hakuna mwanaume atakuoa mwanamke uliyechora tattoo kwenye mapaja, sehemu za siri, kwenye titi, mabegani ama mikononi. Haya yote ni maeneo ambayo mwanamke hapaswi kushikwa shikwa na mwanaume asiye mmewe.

Kwahiyo mwanamke mwenye tattoo anatafsiriwa kama kahaba aliyepitiliza viwango vya ukahaba. Utadoda na kuzalia kwenu halafu kliniki utasindikizwa na babako na kakako (aibu ya mwaka hii)

Ni mm kungwi la kitaa Sexless

816D8882-1C18-4391-A969-444023DFA927.jpeg
Naunga mkono hojaaaa hata Mungu hapendi
 
Back
Top Bottom