Mwanamke ukijichora tattoo, huolewi "ng'o!

Mtu unashindia miguu ya kuku still miguun umejaa tatuu, unaish kwenye nyumba ya udongo umejichora tatuu ya diamond platinumz kwenye matiti
 
Ila kuna wengine daah yaani unakuta binti kachora tattoo karibia na K,kwenye chuchu au kwenye makalio.

Unajiuliza maswali mengi sana,kwanza huyo mchoraji alikuwa wa jinsia gani.
 
IMG_4902.jpg

Hilo nalo mkaliangalie
 
Wakuu wanawak weng waliochor tatoo hasa sehem zsizoonekan(mapaja, mgongoni, kiunon, kifuan, nk)hujikut wananyanduliw na wanaume wachoraj wa hzo tatoo mara nyng wakat wa zoez la uchoraj..

So mchoraj anawez kula matund kimasihar tu..bila ktumia hat kinga so mchoraj anawez kuambukizw na yy kuwaambukiz wengne..

Na ww ukion dem kachor tatoo unapagaw tena unafight ule tunda lak kimasihar bila hat kuwaz kutumia kinga..

SHITUKAAA!!!...hizo za ndan 2 nakupa.
 
Na kuna wengine hawachori tattoo wanaigawa kama vile tshirt za meimosi
 
Mambo ya tattoo sifagilii kamwe!
Tattoo ni jadi ya nchi zilizoendelea kama Ulaya na Marekani. Huko mwanamke kuchora tattoo ni kama wanawake wa kiafrika wanavyotoga masikio. Enzi hizo, hasa Dar, kipindi wanawake makahaba wanaitwa wanawake wa magot, wateja wao wakubwa walikuwa ni wazungu wanaokuja Tanzania. (Magot ilikuwa ni bar (night club?) iliyokuwa Dar na wateja wake wengi walikuwa wazungu na makahaba wa Dar) Hao makahaba walikuwa wanaiga mambo mengi ya kizungu kama kuvuta sigara, kuchora tattoo nk. Kwa hiyo basi, kuvuta sigara au kuchora tattoo imebakia kama alama ya ukahaba.
 
Umetisha sana. Asante kwa nyongeza hii
 
Back
Top Bottom