A tattoo is a form of body modification made by inserting ink, dyes, and/or pigments, either indelible or temporary, into the dermis layer of the skin to form a design. The art of making tattoos is tattooing.
Tattoos fall into three broad categories: purely decorative (with no specific meaning); symbolic (with a specific meaning pertinent to the wearer); and pictorial (a depiction of a specific person or item). In addition, tattoos can be used for identification such as ear tattoos on livestock as a form of branding.
Hapo chini ni mgongo wa mwanamke kwa Jina la Elizabeth Benjamin aliyejichora tattoo ya Jina la Geo Davie, na kupelekea Ndoa yake kuvunjika. Lakini alipofika kanisani kwa Nabii Huyo aliweza kuvuta mkwanja kama hongera kwa kujichora tattoo hiyo.
Na Sasa msanii Amber Rutty Naye amefuata kwa...
Habari Wakuu,
Hata hivyo kumekuwa na dhana kuwa mtu anayejichora tattoo hawezi kumchagia mtu damu na sababu za kutokufanya hivyo hazijawekwa bayana zikaeleweka
Je, ni kweli kwamba mtu aliyechora tattoo hawezi kuchangia damu? Na kama ni kweli zipo ni sababu za kisayansi ya kushindwa kufanya hivyo?
DC wa Pangani amezua gumzo baada ya kuonekana na tattoo ya mumewe hadharani. Ikumbukwe mumewe ni Mbunge wa Pangani na Waziri mwandamizi.
Unampa asilimia ngapi DC wa Pangani kwa tattoo hii
Hello bosses and roses...
Kwenye harakati zangu nimesikia matumizi ya teknolojia ambayo yameniacha mdomo wazi kwakweli, moja wapo ni hili.
Kuna rafiki yangu yupo huko nchi za watu alinambia kwamba huko madada poa wameacha kupokea cash sababu wateja wengine ni wezi, hivyo wanachofanya wanakua...
Tattoo zina tafsiri chanya huko majuu, lkn siyo hapa Bongoland. Watu wengi wanatafsiri tattoo kama uhuni (wezi, makahaba na maraibu wa madawa ya kulevya).
Hakuna mwanaume atakuoa mwanamke uliyechora tattoo kwenye mapaja, sehemu za siri, kwenye titi, mabegani ama mikononi. Haya yote ni maeneo...
Tattoo sijui maana yake nzuri kwa Kiswahili ila ni michoro/picha mbalimbali zinazochorwa kwenye mwili wa binadamu kwa malengo mbalimbali wako wenye wamechora tattoo za Simba, Nyoka, Msalaba,wapenzi wao...nk
Tattoo kwa kifupi inamaanisha i Belong to/mimi ni mali ya mtu fulani au kitu flani au...
Hili swali nimejiuliza muda mrefu Sana lakini nimekosa jibu. Yaani mama amejaa tatoo mwili mzima baba pia amejaa wino mwili mzima lkn Mtoto anazaliwa Hana hata tone la tattoo.
Wataalam wa sayansi nipeni msaada wa hili suala
Huwa nawaonea huruma sana vijana wadogo wanaochora tattoo kuona ni ujanja ama kufuata mkumbo... kwa nchi kama ulaya na marekani tattoo sio shida hata kidogo, ila kwa hapa bongo hali ni tofauti kabisa.
kwa mitazamo ya jamii zetu, mtu akisha chora tatoo basi heshima yake inapungua pakubwa mno...
Huyu konde boy alimkubali sana JPM kama watanzania wengi walivyomkubali hadi akaamua kuchora bonge la tatoo mguuni
Konde boy sio msaliti kama vijana wengi walianza kumnanga JPM alipofariki .
Hii picha alipiga juzi kwenye Tuzo za kilimanjaro, ambapo alichukia Tuzo tatu
USSR
Tukubali tukatae, ukiona mtu ana tattoo yoyote ujue ni matokeo ya malezi mabaya.
Tattoo ni ishara ya mtu kutokujijali, kutojali afya wala thamani ya mwili wake na pia kutokutumia akili sawasawa.
Ndio maana China kwa ajili ya kulinda kizazi cha sasa na kizazi cha baadae imepiga marufuku...
Tattoo ni nini?
hii ni uwekaji wa wino kwenye ngozi ya ndani kitaalamu kama dermis kubadilisha rangi kabisa ya maisha yako yote au kwa muda tu, inategemea na uwekaji..
kwa dunia ya sasa kujichora tatoo ni kama fasheni fulani kwenye jamii, ukienda kuchora tattoo kuna uwezekano mkubwa sana...
Habari wakuu,
Kuna kisa ambacho nisingependa kukiweka hapa lakini kimenivutia kuandika kidogo ufahamu juu ya tattoo kama ni dhambi au vibaya kwa muono wangu binafsi.
Kujichora tattoo kwa sehemu kubwa ya jamii zetu inachukuliwa kama uhuni na kila tafsiri mbaya. Lakini zipo jamii za kiafrika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.