MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 12,850
- 32,060
Unfortunately, sehemu kubwa ya nyuzi humu JF ni full miropoko
Nawafokea kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yaani Tanzania. Kwa bahati mbaya ninapofungua nyuzi nyingi humu JF, sipati ile intellectual content, yaani taarifa zilizo na facts and figures au proof ambazo zinaweza ku substantiate allegations made au hypothesis iliyokua put...
www.jamiiforums.com