Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,047
- 455
- Thread starter
- #21
Ahsante mkuu
Utawasikia tu hawajaelewa mara kiswahili kigumu wala sijui nini lkn hamna lolote...wanajikanyaga tuu...
Ahsante mkuu
Dah hilo swali nimejiuliza sipati jibu lililonyooka!Nadhani integemea na matokeo ya huo msamaha ...anaesamehe siku. akiambulia ngoma au presha basi yeye ndo atakeONEKANA mjinga!Muombaji nae akiambulia bila kumwambukiza mama basi yeye ndo mjinga kwa kumissuse msamaha aliopewa na mwisho wa siku akaambulia ugonjwa!
ni afadhali kungekuwa na giza kuliko kiswahili kukiona kama kichina (i mean, sijafahamu)
duh! Nilifikiri nipo peke yangu. Magreat thinkers wote hatujaelewa hii kitu.
I like this mkuuLaiti wanaume tungekubali kubadilika...maambukizi ya magonjwa ya zinaa yangepungua na hatimaye tungekua na kizazi kipya!
Binafsi nakiri akili ya mwanaume inakua taratibu kulinganisha na mwanamke(hapa elimu haihusiki)....kuanzia umri wa kujitambua yanapita mengi ktk makuzi ya binti ila kuna umri akishaamua kutulia ametulia..Hili lipo tofauti kwa kua kadiri mwanaume anavyozidi kuneemeka kimaisha ndivyo upeke peke unazidi( kuna wachache exclusive)...
Ielezee tuilewe na sisiKuna theory inaitwa the prisoner's dilemma
Mimi nafikiri ni HEKIMA huwa inatumika kwa mambo kama haya. Unajua kusamehe inatokana na aina ya mtu. Kweli kuna kipindi mwanaume au mwanamke akienda kombo nje ya mstari basi watu wanarekebisha bila ngwengwe.
Huyo alieshika ki sms akawaka ujue hana longo longo za kufanya mambo ya kumuumiza mwenza wake, angekuwa ni mwenda nje angekubali yaishe. Si tabia njema kufanya mambo ambayo yanawezamfanya mwenzako kuwa na fikira potofu/mbaya kwako. We should be in straight line. Kama unafanya ebu fanya utaratibu wa kuwa n HESHIMA kwa sababu mwili wako umeishinda ROHO yako, ili ujae dhambi na usimkarahishe mwenzio.
May GOD bless you!
kusamehe sio kua smart ni mapenzi na huruma tu...na pia kuiba nako sio ishu ni upumbavu...so the principles of the question does not apply to the this case
Magulumangu asante saana kwa kuona hilo... Personaly naona nikijibu niko upande wa wadada na nakubaliana na statement yako all the way.... Kikubwa ngoja tuone kaka zetu wanalichulia vipi na wanasemaje....
Laiti wanaume tungekubali kubadilika...maambukizi ya magonjwa ya zinaa yangepungua na hatimaye tungekua na kizazi kipya!
Binafsi nakiri akili ya mwanaume inakua taratibu kulinganisha na mwanamke(hapa elimu haihusiki)....kuanzia umri wa kujitambua yanapita mengi ktk makuzi ya binti ila kuna umri akishaamua kutulia ametulia..Hili lipo tofauti kwa kua kadiri mwanaume anavyozidi kuneemeka kimaisha ndivyo upeke peke unazidi( kuna wachache exclusive)...
Kuna theory inaitwa the prisoner's dilemma
There u r Gaga...hiyo ndiyo fact,mama/dada zetu ni victim wa mambo mengi tu ambayo kwa kufuata mkumbo masikini ya Mungu hata wanawake wenzao wanaungana na wanaume(wasio waadilifu) kuwakandamiza wanawake wenzao...
I like this mkuu
Punguza jazba mkuuUmenena mkuu, sasa humu JF mzee wezi utawajua tuuuu na wapumbafu utawaona tuu, eti hawajaelewa KISWAHILI, mambo ya JF
Sisi wanaume dada angu sijui tuko vipi, hatupendi mwanaume mwenzetu akitukosoa eti, sasa jamani mbona kiswahili kinaeleweka? sorry sikutaka kumaanisha vile...Punguza jazba mkuu
sina wala sijawahi kufumania...ikitokea ntasamehe ila ndo itakua mwisho wetu!Dada Lizzy vipi tena, wewe una bf au umeolewa? Kama unae najua na nina uhakika umemfumania si mara moja wala mara mbili na ukasamehe siusemei moyo wako lkn jibu unalo au umewahi kusamehe mwanaume, je wewe amekufuma na akakusamehe? Jibu unalo mwenyewe...
sina wala sijawahi kufumania...ikitokea ntasamehe ila ndo itakua mwisho wetu!