Mwanamke smarter than mwanaume...

Laiti wanaume tungekubali kubadilika...maambukizi ya magonjwa ya zinaa yangepungua na hatimaye tungekua na kizazi kipya!
Binafsi nakiri akili ya mwanaume inakua taratibu kulinganisha na mwanamke(hapa elimu haihusiki)....kuanzia umri wa kujitambua yanapita mengi ktk makuzi ya binti ila kuna umri akishaamua kutulia ametulia..Hili lipo tofauti kwa kua kadiri mwanaume anavyozidi kuneemeka kimaisha ndivyo upeke peke unazidi( kuna wachache exclusive)...
 
Dah hilo swali nimejiuliza sipati jibu lililonyooka!Nadhani integemea na matokeo ya huo msamaha ...anaesamehe siku. akiambulia ngoma au presha basi yeye ndo atakeONEKANA mjinga!Muombaji nae akiambulia bila kumwambukiza mama basi yeye ndo mjinga kwa kumissuse msamaha aliopewa na mwisho wa siku akaambulia ugonjwa!

Dada Lizzy vipi tena, wewe una bf au umeolewa? Kama unae najua na nina uhakika umemfumania si mara moja wala mara mbili na ukasamehe siusemei moyo wako lkn jibu unalo au umewahi kusamehe mwanaume, je wewe amekufuma na akakusamehe? Jibu unalo mwenyewe...
 
ni afadhali kungekuwa na giza kuliko kiswahili kukiona kama kichina (i mean, sijafahamu)

Umeelewa sana lkn unataka kupindua ukweli tuuu...kama imekuchoma kisogoni sema tu, kiswahili gani usichokielewa hapo au na wewe SHAROBARO?
 
duh! Nilifikiri nipo peke yangu. Magreat thinkers wote hatujaelewa hii kitu.

Wapi sieleweki? sema nikufafanulie, mambo ya na mimi sijaelewa ni ya kile chama chetu cha ukielekea magharibi basi hukohuko....
 
Laiti wanaume tungekubali kubadilika...maambukizi ya magonjwa ya zinaa yangepungua na hatimaye tungekua na kizazi kipya!
Binafsi nakiri akili ya mwanaume inakua taratibu kulinganisha na mwanamke(hapa elimu haihusiki)....kuanzia umri wa kujitambua yanapita mengi ktk makuzi ya binti ila kuna umri akishaamua kutulia ametulia..Hili lipo tofauti kwa kua kadiri mwanaume anavyozidi kuneemeka kimaisha ndivyo upeke peke unazidi( kuna wachache exclusive)...
I like this mkuu
 
Mimi nafikiri ni HEKIMA huwa inatumika kwa mambo kama haya. Unajua kusamehe inatokana na aina ya mtu. Kweli kuna kipindi mwanaume au mwanamke akienda kombo nje ya mstari basi watu wanarekebisha bila ngwengwe.

Huyo alieshika ki sms akawaka ujue hana longo longo za kufanya mambo ya kumuumiza mwenza wake, angekuwa ni mwenda nje angekubali yaishe. Si tabia njema kufanya mambo ambayo yanawezamfanya mwenzako kuwa na fikira potofu/mbaya kwako. We should be in straight line. Kama unafanya ebu fanya utaratibu wa kuwa n HESHIMA kwa sababu mwili wako umeishinda ROHO yako, ili ujae dhambi na usimkarahishe mwenzio.

May GOD bless you!

Umewaona waenda nje hapa JF wanajifanya eti hawajaelewa kiswahili...eti sijui lines zimekuwaje...
 
kusamehe sio kua smart ni mapenzi na huruma tu...na pia kuiba nako sio ishu ni upumbavu...so the principles of the question does not apply to the this case

Umenena mkuu, sasa humu JF mzee wezi utawajua tuuuu na wapumbafu utawaona tuu, eti hawajaelewa KISWAHILI, mambo ya JF
 
Magulumangu asante saana kwa kuona hilo... Personaly naona nikijibu niko upande wa wadada na nakubaliana na statement yako all the way.... Kikubwa ngoja tuone kaka zetu wanalichulia vipi na wanasemaje....

Kaka zako eti wanasema hawajaelewa KISWAHILI hehehehe...UTASIKIA ETI KISWAHILI HAKISOMEKI OOHHH SIJUI NINI...
 
There u r Gaga...hiyo ndiyo fact,mama/dada zetu ni victim wa mambo mengi tu ambayo kwa kufuata mkumbo masikini ya Mungu hata wanawake wenzao wanaungana na wanaume(wasio waadilifu) kuwakandamiza wanawake wenzao...
 
Laiti wanaume tungekubali kubadilika...maambukizi ya magonjwa ya zinaa yangepungua na hatimaye tungekua na kizazi kipya!
Binafsi nakiri akili ya mwanaume inakua taratibu kulinganisha na mwanamke(hapa elimu haihusiki)....kuanzia umri wa kujitambua yanapita mengi ktk makuzi ya binti ila kuna umri akishaamua kutulia ametulia..Hili lipo tofauti kwa kua kadiri mwanaume anavyozidi kuneemeka kimaisha ndivyo upeke peke unazidi( kuna wachache exclusive)...

Mkuu 100% nakupa hapa, mwanaume akiwa masikini ni mnyenyekevu sana na ana mapenzi ya kweli, lkn akizipata anataka kuongeza vimwana na nyumba ndogo sio moja wala mbili na anajua kuna mke wake ndani anamsubirri...humu JF utawaona tu wenye tabia hizo eti hawaelewi kiswahili nilichotumia hahaha..
 
There u r Gaga...hiyo ndiyo fact,mama/dada zetu ni victim wa mambo mengi tu ambayo kwa kufuata mkumbo masikini ya Mungu hata wanawake wenzao wanaungana na wanaume(wasio waadilifu) kuwakandamiza wanawake wenzao...

na humu tayari mkuu nimewaona wameanza chokochoko zao kujifanya eti sio watu wanaosamehe, Beijing sijui ndo imewapa kiburi hicho? wanajijua roho zao ni za kusamehe, mie nadhani hata Yesu alikuwa na roho ya kike maana mateso yote yale still alitusamehe...
 
Dada Lizzy vipi tena, wewe una bf au umeolewa? Kama unae najua na nina uhakika umemfumania si mara moja wala mara mbili na ukasamehe siusemei moyo wako lkn jibu unalo au umewahi kusamehe mwanaume, je wewe amekufuma na akakusamehe? Jibu unalo mwenyewe...
sina wala sijawahi kufumania...ikitokea ntasamehe ila ndo itakua mwisho wetu!
 
sina wala sijawahi kufumania...ikitokea ntasamehe ila ndo itakua mwisho wetu!

haya umeshinda kama huna, unasema u kusamehe na kuacha, kama huna na hujawahi kupenda so I can conclude even you don know what love is dear....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom