Mwanamke sio tu kwaajili ya kufanya mapenzi

well said Annael mwanamke ni zaidi ya mapenzi, kikubwa kwa mwanamke ni care an protection, bt hawa wenzetu wanawazia ngono2 kutoka kwa mwanamke thats why wanawake wanalalama kuwa hawa wanaume wa sikuhizi hawajui kumpenda mwanamke.
 
Last edited by a moderator:
U can as well wait mpaka Yesu atakaporudi mara ya pili ndipo utakapata majibu hayo! LOL

By the way being Mwali lazima utakuwa umefundwa weye, eeh tufundishe nasi 'mwanaume ni kwa ajili ya nini'?

Bado nafundwa hapa... labda tumuulize somo wangu AshaDii
 
Last edited by a moderator:
AshaDii nakubaliana na wewe na asante sana kwa ufafanuzi wako na karibu sana maana tulikukosa sana
nakubaliana na wewe na Annael kwamba mwanamke sio kwa ajili ya mapenzi ni ni zaid ya hapo kulindwa na apate mtu kwa kumjali na na kumuonyesha mapenzi ya kweli
Ila hayo inategemea kama hakuna usanii ndani yenu na mnapendana kweli maana unaweza fanya hayo yote na bado ukaonekana hamnazo kabisa

kweliiiiiiiiii umeona hilo
 
Hiyo ya nne nadhani sio lazima kuwa mkorofi,anaweza akawa mpole,ila awe na misimamo katika maeneo fulani ambayo hata wewe mwenyewe unajua kabisa huwezi kuvuka mstari katika mambo hayo.
 
Back
Top Bottom